Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Imenichukua miaka 10 kuwaelewa wanaume

Na wakati mwingine tunasuuza macho hadi abdala anashtuka. It's normal, unless uifanye kupita kiasi. Nikiwa na baby najitahidi shingo ikakamae..teh!!
 
Hii kitu ilikuwa inaniudhi inanipa hasira na kunipa wivu.... Nakumbuka kuna jamaa mmoja ndo ilikuwa mtoko wetu wa 2 tangu tufahamiane na ndo ilikuwa tunawekana sawa ili tufahamiane zaidi. Heee...!!! Katikati ya maongezi si akapita mdada mrembo kiukweli asipigwe na butwaa nini.....! Nikamstua mara 2 hasikii. Nilinyanyua pochi yangu nikasepa na ndo ikawa mwisho wetu.
hahah..you must be ''very average''.................oooh sorry......he wasn't a smooth operator
 
Shingo zetu zingekuwa na uwezo wa kuzunguka kusingekuwa na joto namna hii lazima tungegeuka feni
 
Huo utafiti nd umechukua miaka 10...ila macho hayana panzia huwa tunaangalia neema za allah
 
Habari za usiku mabibi na mabwana,

Ni wasaa mwingine tena Kasinde kuzungumza nanyi.

Msemo ukweli siku zote mpenzi wa Mungu. Mie tangu nijifahamu kuwa ni mschana bin kigori niliyekamilika idara zote, nilikuwa na marafiki wengi wa kiume na kati yao kuna waliokuwa wapenzi. Shida kubwa ya Kasie nilikuwa siwapi nafasi wanaume, muda wote naambatana nao na kugombana nao. Ugomvi wangu kwao ulikuwa ni tabia ya wanaume kupiga kiwi cha macho pale anapopita mschana aidha awe mrembo au hata wa kawaida tuu ila ananukia uturi wa kuamsha hamasa, basi wanaume bila kujali mie nipo pale watamtizama yule dada hadi atakoishia tena kwa kushangaa saa ingine hadi kuachama midomo.

Hii kitu ilikuwa inaniudhi inanipa hasira na kunipa wivu.... kwanini amwangalieyule inamaana mimi sio mzuri? Simvutii? Sasa kama anaangalia wengine mi nafanya nini hapa si aniache awafate hao...? Nilikuwa nachukia mno.... (hii ndo ilikuwa dalili kuwa Kasie ni mbinafsi ). Nakumbuka kuna jamaa mmoja ndo ilikuwa mtoko wetu wa 2 tangu tufahamiane na ndo ilikuwa tunawekana sawa ili tufahamiane zaidi. Heee...!!! Katikati ya maongezi si akapita mdada mrembo kiukweli asipigwe na butwaa nini.....! Nikamstua mara 2 hasikii. Nilinyanyua pochi yangu nikasepa na ndo ikawa mwisho wetu.

Kiukweli nilikuwa sijawaelewa kuwa ile ni kusuuza macho tuu japo saa ingine hupelekea kuosha rungu.
Tangu mwaka jana nikaanza kufanya majaribio ya kuwa nikiwa kwenye migahawa au barabarani nikiona muda anayevutia au mrembo namtizama kwa umakini. Nilichogundua... kiwi cha macho kitamu na wanaume wanafaidi.
Kwa una mistori inayovutia huwa natamani tu nikuone. Ila kwa kuwa umesema umehishiwa katesh siku ukifika babati fanya namna nikuone tu basi.
 
Si mmketazwa na vitabu vyenu vya dini ,kutamani kwa macho ni dhambi/kama vile kuzini?......vipi leo nyie watakatifu uchwara mnasifia tena.
Angekuwa shoga kapita si mgemhukumu alivyo mtenda dhambi na mgemchoma kwa ndimi za moto humu?...enyi watakatifu uchwara!

Bin adam kweli kituko!
 
hiyo ni asili tu ya viumbe vya kiume ndio maana ni rahisi sana kumuona beberu anayapanda majike yote zizini....kama ilivyo kwako vigumu kutuelewa hata sisi bado tunajifunza kuwaelewa.
 
Well said Kasinde na huo ndio ukweli wenyewe.

Wewe alishakupata na kila wakati anasuuza macho na rungu kwako. Sasa mwache asuuze macho kwa wengine.

Habari za usiku mabibi na mabwana,

Ni wasaa mwingine tena Kasinde kuzungumza nanyi.

Msemo ukweli siku zote mpenzi wa Mungu. Mie tangu nijifahamu kuwa ni mschana bin kigori niliyekamilika idara zote, nilikuwa na marafiki wengi wa kiume na kati yao kuna waliokuwa wapenzi. Shida kubwa ya Kasie nilikuwa siwapi nafasi wanaume, muda wote naambatana nao na kugombana nao. Ugomvi wangu kwao ulikuwa ni tabia ya wanaume kupiga kiwi cha macho pale anapopita mschana aidha awe mrembo au hata wa kawaida tuu ila ananukia uturi wa kuamsha hamasa, basi wanaume bila kujali mie nipo pale watamtizama yule dada hadi atakoishia tena kwa kushangaa saa ingine hadi kuachama midomo.

Hii kitu ilikuwa inaniudhi inanipa hasira na kunipa wivu.... kwanini amwangalieyule inamaana mimi sio mzuri? Simvutii? Sasa kama anaangalia wengine mi nafanya nini hapa si aniache awafate hao...? Nilikuwa nachukia mno.... (hii ndo ilikuwa dalili kuwa Kasie ni mbinafsi ). Nakumbuka kuna jamaa mmoja ndo ilikuwa mtoko wetu wa 2 tangu tufahamiane na ndo ilikuwa tunawekana sawa ili tufahamiane zaidi. Heee...!!! Katikati ya maongezi si akapita mdada mrembo kiukweli asipigwe na butwaa nini.....! Nikamstua mara 2 hasikii. Nilinyanyua pochi yangu nikasepa na ndo ikawa mwisho wetu.

Kiukweli nilikuwa sijawaelewa kuwa ile ni kusuuza macho tuu japo saa ingine hupelekea kuosha rungu.
Tangu mwaka jana nikaanza kufanya majaribio ya kuwa nikiwa kwenye migahawa au barabarani nikiona muda anayevutia au mrembo namtizama kwa umakini. Nilichogundua... kiwi cha macho kitamu na wanaume wanafaidi.
 
Habari za usiku mabibi na mabwana,

Ni wasaa mwingine tena Kasinde kuzungumza nanyi.

Msemo ukweli siku zote mpenzi wa Mungu. Mie tangu nijifahamu kuwa ni mschana bin kigori niliyekamilika idara zote, nilikuwa na marafiki wengi wa kiume na kati yao kuna waliokuwa wapenzi. Shida kubwa ya Kasie nilikuwa siwapi nafasi wanaume, muda wote naambatana nao na kugombana nao. Ugomvi wangu kwao ulikuwa ni tabia ya wanaume kupiga kiwi cha macho pale anapopita mschana aidha awe mrembo au hata wa kawaida tuu ila ananukia uturi wa kuamsha hamasa, basi wanaume bila kujali mie nipo pale watamtizama yule dada hadi atakoishia tena kwa kushangaa saa ingine hadi kuachama midomo.

Hii kitu ilikuwa inaniudhi inanipa hasira na kunipa wivu.... kwanini amwangalieyule inamaana mimi sio mzuri? Simvutii? Sasa kama anaangalia wengine mi nafanya nini hapa si aniache awafate hao...? Nilikuwa nachukia mno.... (hii ndo ilikuwa dalili kuwa Kasie ni mbinafsi ). Nakumbuka kuna jamaa mmoja ndo ilikuwa mtoko wetu wa 2 tangu tufahamiane na ndo ilikuwa tunawekana sawa ili tufahamiane zaidi. Heee...!!! Katikati ya maongezi si akapita mdada mrembo kiukweli asipigwe na butwaa nini.....! Nikamstua mara 2 hasikii. Nilinyanyua pochi yangu nikasepa na ndo ikawa mwisho wetu.

Kiukweli nilikuwa sijawaelewa kuwa ile ni kusuuza macho tuu japo saa ingine hupelekea kuosha rungu.
Tangu mwaka jana nikaanza kufanya majaribio ya kuwa nikiwa kwenye migahawa au barabarani nikiona muda anayevutia au mrembo namtizama kwa umakini. Nilichogundua... kiwi cha macho kitamu na wanaume wanafaidi.
Kila binadam anafanya ogling.Mwanaume ni rahisi sana kushtukiwa akiwa anapiga chabo kwa sababu ana tunnel vision ndo maana anahitaji kugeuza shingo ili aone.Ni vigumu kumspot KE akiwa anapiga chabo kwa sababu wana strong peripheral vision, ana uwezo wa kuona nyuzi 45 upande wowote bila kugeuza shingo...hizi tofauti hutokana na evolution...wanawake wanaongoza kwa kuwapiga chabo wanaume kuliko wanaume wanavyo wapiga chabo wanawake....Hadi watawa wa kike hupiga chabo kama kawaida.
 
Kasinde hebu check na hao watoto. Asili....
IMG-20160821-WA0012.jpg
 
Bora umegundua hilo aisee.

Ila kuosha rungu hilo neno nalipendaga sana

Utakosaje kulipenda?
Itakua maajabu sana, kama ulivyo mwaafrika wa kawaida,kazi ni kuwaza ngono,kungonoka,kula,kulala,mziki na chakula pamoja na mambo kama hayo.
Mnatumia muda,nguvu na wakati mwingi kwa haya badala ya kuwaza jinsi mtakavyo vumbua teknolojia /mashine za ajabu,sayansi,na uvumbuzi wa aina mbali mbali mkajiepushe na janga la magonjwa ya kutisha yanayowazonga pamoja na umasikini.
Haya basi mkishamaliza kuwaza ngono mkatafutane kabisa mkangonoke,baadae UKIMWI kwenda mbele ,hata mlivyo athirika kama bara la watu weusi atakuja mzungu anayetumia mda wake kwenye mahabara kuvumbua tiba akawaokoeni.

Shida kwl kwl.
 
Ha ha ha hata leo asubuhi nimesuuza macho kapita Binti mrembo kaenda hewani nikajikuta namsalimia na e bila hiyana akaitikia.
 
Back
Top Bottom