Imenibidi...

Kwa vile keshakiuka imani yako kwake itakuwa vigumu sana kumwamini tena. Hivyo mimi naunga kwa mkono na mguu uamuzi uliouchukua na utakaouchukua hapo siku za usoni...wink wink
Asante sana ndugu, watu kama nyinyi ndo ninaowapenda. Tuache unafiki na kujifanya. Ukweli utabakia kuwa ukweli na huwa unauma sana. Ndo maana negative answers humu ndani ni nyingi sana.
 
wewe mama wewe, you need to understand men, tit for tat towards sisi wanaume ni hatari sana. Huyo jamaa akigundua japokuwa wewe ulisha mnasa hali ya hewa itakuwa tofauti na matarajio yako. The best thing ni kuachana kabisa na kale ka boyfriend kakao.
 
Asante sana ndugu, watu kama nyinyi ndo ninaowapenda. Tuache unafiki na kujifanya. Ukweli utabakia kuwa ukweli na huwa unauma sana. Ndo maana negative answers humu ndani ni nyingi sana.

Unfortunately to some the truth is not always very palatable. You go girl..do you. Life is too short.
 
nilidhani ulikuwa unataka ushauri lakini kumbe tayari unaufurahia uamuzi uliouchukua. ulijiuliza utabadilisha mpaka lini, lakini je umejiuliza huo mchezo unakupeleka wapi?

quiet
Nadhani hilo ukiangalia vizuri ni jibu baada ya swali. Mimi sio mnafiki i speak from my heart ndo maana nikajibu hivyo. Pole kama limekukwaza. Huu sio mchezo ni hali halisi ya maisha tulionayo kwa sasa ndugu yangu. Hata wewe yanaweza kukukuta. Yategemeana na uchambuzi wako ukoje maana huu ndo wangu. asante.
 
Asante sana ndugu, watu kama nyinyi ndo ninaowapenda. Tuache unafiki na kujifanya. Ukweli utabakia kuwa ukweli na huwa unauma sana. Ndo maana negative answers humu ndani ni nyingi sana.

Aamue moja, kubaki kwenye ndoa na ku work things out au kuchukua talaka na kujivinjari.Hizi habari za kujivinjari wakati uko ndani ya ndoa si nzuri.
 
Aamue moja, kubaki kwenye ndoa na ku work things out au kuchukua talaka na kujivinjari.Hizi habari za kujivinjari wakati uko ndani ya ndoa si nzuri.

Aaah na wewe nawe ushaanza unazi wako. Kila kitu na wakati wake. Kitakachofuatia kitafuatia...
 
wewe mama wewe, you need to understand men, tit for tat towards sisi wanaume ni hatari sana. Huyo jamaa akigundua japokuwa wewe ulisha mnasa hali ya hewa itakuwa tofauti na matarajio yako. The best thing ni kuachana kabisa na kale ka boyfriend kakao.

wEWE sHAPU WEWE!
WHAT makes you think men are supreme and superior kiasi cha kufikiria wao wanahaki ya kucheza na mioyo ya wake zao? Mwosha kuna siku anaoshwa kama hivi alivyoosha Mrs Mtaba.

I like the underlined part!
 
Mrs Mtaba kama umeamua kuwa na bf huyo mumeo muache tu, kama yeye kaanzisha basi wewe malizia.Ya nini kujitesa na mtu mwenyewe hakupi penzi la kweli.Hapo naona hakuna penzi la kweli tena, maana kila mtu kaamua kucheat.
 
Aamue moja, kubaki kwenye ndoa na ku work things out au kuchukua talaka na kujivinjari.Hizi habari za kujivinjari wakati uko ndani ya ndoa si nzuri.
Tena kwa your information ndo zinazopeleka ndoa mbele kwa karne ya sasa. Sema wanawake wenzangu wanaji act kama vile hawafanyi. Hiyo ndio drama sasa ndugu yangu. Unafiki unafiki unafiki tuu ndo uliowatawala. Mbona ufuska umetawala sana kwenye masaloon sasa...ask yourself that question.
 
MRS MTABA,
naomba nikutahadharishe pia usije ukawa unaapply directly solutions zinazotolewa na wanawake humu jamvini! watch out. most of them sio wanawake. hata kama ni wanawake wamepinda sana

This is a very serious allegation. Tuwe makini na kauli zetu, zinakuwa too general na zinaelekea kutukuza mfumo dume. Je, wewe umeishakutana na hao "most" uka-prove kwamba sio wanawake?

Wewe ungekuwa ni mmoja wa akina dada/mama hapa jamvini ungejisikiaje kwa kusoma such a sweeping statement?

Hivi kuna mahali kwenye majina yetu kunaonyesha gender/sex? Je, umejuaje kwamba hao "wanawake" most of them sio wanawake? Kwa kuwa umeishaweka label kwamba most of them sio wanawake, je, una uhakika Mrs Mtaba ni mwanamke?

Kipimo cha kupinda michango yao hao wanawake ni nini? Je, hakuna members wenye majina ya kiume ambao hutoa michango iliyopinda?

Ushauri kupinda ama kutopinda inategemeana na mtoa ushauri amekutana na yepi katika mahusiano/ndoa yake. Wengine wanaamini jino kwa jino (kama Mrs Mtaba), wengine wana amini ukipigwa shavu la kulia unageuza na la kushoto lipigwe. Sasa ushauri upi uliopinda? Kila mtu anaangalia experience yake na ndipo anatoa ushauri.

There is no universal solution in marriage problems, solution ya Mrs Mtaba inaweza ku-work kwake, lakini isi-work kwa mtu mwingine. Wanaume wengine ukiwageuzia shavu la pili, atakuzabua kibao na baada ya hapo atapiga mateke kabisa. Mwenye experience mbaya kiasi hiki lazima ataonekana amepinda sana kwa kuwa alikutana na mume/bf jambazi na akamfundisha ujambazi pia. Wanaume wengine wanaweza ku-cheat kwa "kupitiwa na shetani" na akigundulika harudii tena, so ukiweka jino kwa jino utakuwa wrong. Mioyo ya binadamu ni vichaka you will never know what they are up to, na hivyo sometimes solutions zinakuwa ni kama pata potea, maana hujui kiini cha tatizo ni nini, sawa na kwenda kuagua kwa mganga wa kienyeji.

Nadhani kila memba ana haki ya kuchangia hoja/mada na ni juu ya muomba ushauri kuchagua achukue ushauri upi.
 
Aamue moja, kubaki kwenye ndoa na ku work things out au kuchukua talaka na kujivinjari.Hizi habari za kujivinjari wakati uko ndani ya ndoa si nzuri.

Hapo hakuna ndoa,ndoa ilishavunjika zamani,hili ni tangazo la kuvunjika ndoa,mimi nashauri,jipe talaka mwenyewe,kuna siku mtatoana macho bure. Jipe talaka na uchape mwendo.
 
Mrs Mtaba kama umeamua kuwa na bf huyo mumeo muache tu, kama yeye kaanzisha basi wewe malizia.Ya nini kujitesa na mtu mwenyewe hakupi penzi la kweli.Hapo naona hakuna penzi la kweli tena, maana kila mtu kaamua kucheat.
Hivi kwa karne hii kweli kuna mapenzi tena! I doubt it...hii ndo hali halisi sema watu wanapenda kujifanya watakatifu kumbe ni miozo mitupu.
 
Nadhani hilo ukiangalia vizuri ni jibu baada ya swali. Mimi sio mnafiki i speak from my heart ndo maana nikajibu hivyo. Pole kama limekukwaza. Huu sio mchezo ni hali halisi ya maisha tulionayo kwa sasa ndugu yangu. Hata wewe yanaweza kukukuta. Yategemeana na uchambuzi wako ukoje maana huu ndo wangu. asante.

usiwe na wasi hujanikwaza kabisa. pia usiwe na uhakika sana wa kudhania kwamba hayajawahi kunikuta.pia naelewa kwamba unaongea yale yaliokuwepo moyoni mwako. hapo uliposema yategemea uchambuzi wangu ukoje ndio kidogo tunatafautiana. mimi nadhani uliziruhusu hasira zikatawala maamuzi yako, na hapa ndio wasi wasi wangu kwako.

quiet
 
Hivi kwa karne hii kweli kuna mapenzi tena! I doubt it...hii ndo hali halisi sema watu wanapenda kujifanya watakatifu kumbe ni miozo mitupu.
Penzi la kweli adimu dunia ya leo, ila inabidi uwe makini usije ukapata mimba ya bf halafu ukampachikia mumeo.
 
... Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.

...akishakusanya evidence zake, nawe ujiandae kumuomba msamaha. Akikusamehe "lakini" pia akihakikisha anapata replacement yako kubalance, usijelalamika!

Kumbuka, hakuna msamaha wenye u-lakini...! either unaukubali au unaukataa tu,...usijiweke mtu kati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom