Imenibidi...

The risk of HIV infection is exponentially proportional to the number of partners involved in this chain.

Duh? kila mtu na spare tyre yake...hapaponi mtu hapa! mmmm miaka miwili tu? hapo hakuna ndoa acheni kujidanganya mmeanza na hii gia i dont see why u should continue being there kama ameamua kutomsamehe..work on it or pack and leave...
 
ndo maana hakusema kama jamaa anajua kuhusu yeye kula bata ni serengeti boyzzz wake.
Hapa huenda yeye ndo alilianzisha ,sasa mzee mzima kamrudi anajidai ooh anatembea na kikongwe mara kaniomba msamaha nk,nk.

acha ujinga wewe visasi havina nafasi hasa nyakati hizi.
Utakuja kula bunju likuvimbishe bure!!!!!!!!!!!!!

Kisoda2 naunga mkono hoja,nimeipenda sana hiyo yenye red color,huyu mwanamke sidhani kama alikua na sifa za kuwa mke wa mtu,maana tu kwa kauli zake unajiuliza kweli akili zake zinafanya kazi vizuri,maana nadhani kwanza kwa mtu yoyote anayejiheshimu hawezi fanya hivyo na baada ya kufanya hivyo ajione yeye ni super star,ipo shida kubwa sana hapo,yaani nilisoma jinsi alivyokuwa anajibu nikamshangaa sana,na bado najiuliza hivi hapo ndani ya nyumba wanaishije? anajisikia amani kabisa kufanya hivyo vitendo na bado anaendelea kuishi na mume wake?
 
Mhhhh! in the heat of the moment after telling you husband that, “I forgive” you then you turn around in order to get even!!! :confused: :confused:

Na hii "interest" yako ya kusema uongo kama ulivyoiweka kwenye profile yako ni aje!? Sasa katika yote uliyoandika katika mjadala huu lipi ni la kweli na lipi ni uongo?

About Me

  • About Mrs Mtaba
  • Location Denmark
  • Interests lying
http://www.youtube.com/watch?v=lh2YP7oXqGQ

...Watanzania 'ughaibuni' huko Denmark kuna nini yarabi, mbona Ndoa zenu mnazitia dosari namna hii?... chonde, chonde!

28050_590_450.jpg

maiti ya mwanamama anayesemekana kauwawa kwa kukatwakatwa na mapanga na mume wake mapema wiki hii ambaye ni mtanzania huko denmark ikipelekwa hospitali kwa uchunguzi na hifadhi. marehemu inasemekana ni mwenyeji wa denmark na wanandoa hawa walizaa watoto wawili.

source; issamichuzi.blogspot.com
 
...Watanzania 'ughaibuni' huko Denmark kuna nini yarabi, mbona Ndoa zenu mnazitia dosari namna hii?... chonde, chonde!

Mkuu nimecheki ile link sikuielewa, sijui kuna nani anaweza kutusaidia aisee

Inatia uchungu sana, hivi huyo Mrs Mtaba yupo online saa hii, anaweza kutuchekia news hiyo kutokea denmark?
 
Mkuu nimecheki ile link sikuielewa, sijui kuna nani anaweza kutusaidia aisee

Inatia uchungu sana, hivi huyo Mrs Mtaba yupo online saa hii, anaweza kutuchekia news hiyo kutokea denmark?

Hahaha! Mpwa nakukubali kwa kutunza kumbukumbu. Isije ikawa Mrs Mtaba ndiye aliyerestishwa in peace baada ya kuweka ufisadi wake hadharani.
 
Hahaha! Mpwa nakukubali kwa kutunza kumbukumbu. Isije ikawa Mrs Mtaba ndiye aliyerestishwa in peace baada ya kuweka ufisadi wake hadharani.

...pheeeeeewwwww!,

Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema apishilie mbali!
 
Hahaha! Mpwa nakukubali kwa kutunza kumbukumbu. Isije ikawa Mrs Mtaba ndiye aliyerestishwa in peace baada ya kuweka ufisadi wake hadharani.

Chrispin, Mrs Mtaba alisema hana mtoto, na huyu aliyeuawa ana watoto wawili. Hawa ni watu tofauti. Nahisi huyu mume ni Mkurya wa huko Denmark au Samurai Warrior toka Japan, kwani haiingii akilini kukatakata kwa upanga mwenzi wako wa ndoa!!

Ushauri kwa Mrs Mtaba, aidaha utulie na mumeo huku ukiendelea kumkanya arudi kwenye msitari wa uaminifu na huklu na wewe ukizidisha penzi (kwani huyo anayekuibia anakuzidi nini ambacho wewe huwezi fanya); la sivyo jiondokee uwe msela mambo yatajipa mbele ya safari. Ila kumbuka, ndoa ni kuvumiliana kama wenzio tunavyofanya!!
 
Chrispin, Mrs Mtaba alisema hana mtoto, na huyu aliyeuawa ana watoto wawili. Hawa ni watu tofauti. Nahisi huyu mume ni Mkuraya wa huko Denmark au Samurai wariior toka Japan, kwani haiingii akilini kukatakata kwa upanga mwenzi wako wa ndoa!!

Ushauri kwa Mrs Mtaba, aidaha utulie na mumeo huku ukiendelea kumkanya arudi kwenye msitari wa uaminifu na huklu na wewe ukizidisha penzi (kwani huyo anayekuibia anakuzidi nini ambacho wewe huwezi fanya); la sivyo jiondokee uwe msela mambo yatajipa mbele ya safari. Ila kumbuka, ndoa ni kuvumiliana kama wenzio tunavyofanya!!

...'inasemekana' Mume ni msukuma wa Mwanza, na marehemu ni mama wa ki Danish (Mzungu)...
Wivu wa mapenzi ni mbaya sana, tunaenda nchini mwa watu halafu tunaleta za kuleta! ...aibu tupu!
 
...'inasemekana' Mume ni msukuma wa Mwanza, na marehemu ni mama wa ki Danish (Mzungu)...
Wivu wa mapenzi ni mbaya sana, tunaenda nchini mwa watu halafu tunaleta za kuleta! ...aibu tupu!

Huyu Ngosha atachezea jela mpaka basi ndo hivyo tena dah haya mapenzi mmh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom