ndio bado ninaimani ya kutosha na serikari ya kikwete kwani kwa mengi aliyoyafanya katika miaka yake mitano ya uongozi . tukiangalia ktkt swla la maundombinu ameweza kujenga miundombinu na kuzikamilisha na badhii ya nyingine ziko mbioni kukamilika kwa mfano barabara ya manyoni -- dodoma , manyoni--singida , mkuranga -- kibiti .... amejenga vivuko kwa mfano MV misungi, MV pangani, nk ... pia upande wa viwanja vya ndege kiwanja cha ndege kipya cha mbeya ,
UPANDE WA KILIMO
serikali imeanzisha program ya ASPD ( agricultural sector development) ,, matumizi ya mbolea yameongezeka kutokana na kutolewa kwa ruzuku. kutoka 2005-2009 matumizi ya mbolea yameongezeka kutoka tani 51629-141050 imewafikia wakulima 15,000,000 .
idadi ya matrecta imeongezeka kwa kiasi cha kuridhisha na inatia matumaini kwa miaka ijayo
SECTOA YA ELIMU
serikali amewezesha kila mtoto kupa elimu ya msingi . na kwa upande wa sekondali imeweza kuongeza idadi kubwa ya wanafunzi wanao primary kwenda secondari na pia serikari bado inampango wa kuongeza ufanisi wa shule hizo kwa kuzipatia maabara na walimu wa kutosha ili kuboresha elimu ... pia serikali imeongeza vyuo vya uwalimu ili kupata walimu wa kutosha .. serikali yetu kwa upane wa vyuo vikuu imejenga chuo kikuu cha dodoma kitakachoweza kuchukua wa elfu 40 kila mwaka na pia serikali upatikanaji wa elimu ya watu wa zima
AFYA
Serikali imefanikisha kupunguza vifo kwa mama na mtoto ,, imeimarisha vita zidi ya ukimwi na mapambano zidi ya malaria kwa kutoa vyandarua kwa watoto chini ya miaka mitano... serikali imeweza kufanikisha ukarabati na upanuzi wa majengo ya afya na kuboresha upatikanaji wa haki za mtoto ; walemavu na wazee
VIWANDA; BIASHAR NA MASOKO
nchi imeweza kuimarisha uhusiano baina ya nchi wanachama SADC, EAC ( east africa community ) WTO ( world trading center) pamoja na nchi nyinginev kama china , japan, marekani na korea , serikali imewaza kuvutia mazingira ya uwezekezaji kwa kuanzisha viwanda kama viwanda vya nguo , mbolea ,saruji, chuma na lemikali nk