payuka
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 829
- 127
Asante kwa Kuchangia baba mtu, tarehe 31 october usisahau kumpigia Kura ya Ndio Dr. Wilbroad Slaa"Kila kitu kimefanywa na wewe. Wee ndiye ulokutana na huyo rafiki yako. Wee ndiye unaotueleza kile alichosema rafiki. Baada ya kutueleza hivyo, ni juu yetu sie kuamini au kutoamini hayo ulotueleza. Huna haja ya kumlazisha mtu aamini kile ulichokisema wee pamoja na huyo rafiki yako. Na pia huna haja ya kumtukana mtu. Umetumia kipimo cha aina gani hata ukagundua kiwango cha akili alonacho malaria sugu????"