Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

Bado una imani na serikali ya Kikwete?

  • NDIYO (YES)

    Votes: 215 19.4%
  • HAPANA (NO)

    Votes: 834 75.1%
  • Sijui (Undecided!)

    Votes: 64 5.8%

  • Total voters
    1,111
Jambo la dowans,iptl,sh kushuka thamani,rada,mabilioni ya jk,mfumuko wa bei,umeme kupanda bei,mikataba mibovu ya madini,safari za nje

Mkuu nadhani umepotoka, hayo uliyoorodhesha karibu yote ni masuala ya utendaji wa serikali ambapo msimamizi wake n Waziri Mkuu so maybe ungeshauri ampige chini Pinda kwa kushindwa kumshaur jk juu ya utendaji mbovu wa taasisi zinazosimamia masuala hayo then amteue Dr. Mwinyi anafit kuwa PM! Lkn kama motion yako n jk tu,nadhani lipo uliloficha moyoni. Mfano km bot wamesema inflation imeshuka jk hawezi kupinga kwa kuwa bot imepewa mandate kusimamia suala hilo na jk siyo anaefanya survey! But ofisi y wm yaweza ku-intervene any situation na kumshauri rais amwadabishe gavana kwa kutoa data sizo (if ). Jua rais ni taasisi mkuu! Nadhani wapigie kura ya kutokuwa na imani nao wafuatao: Pinda, Ndulu,Kitilya,Mhando, Ngeleja, Mkulo, AG, kwa issue hizo, how to vote?utatafuta mwenyewe mkuv!
 
Katiba inaruhusu, this is possible. kama kuna 20% ya vote which i hope itapatikana, they can table the motion, kutokuwa na imani naye, then bunge lijadili
 
Jambo la dowans,iptl,sh kushuka thamani,rada,mabilioni ya jk,mfumuko wa bei,umeme kupanda bei,mikataba mibovu ya madini,safari za nje

Halafu akiisha ondoka JK nani achukue dola ? kama ni CHADEMA hapana , hawa ni waroho wa madaraka, walafi, wazinzi, wenye kuhubiri udini na ukanda. Hawatufai hata chembe, Mungu tuepushie mbali watu hawa aisee !
 
Sorry, which God.....?
 
Halafu akiisha ondoka JK nani achukue dola ? kama ni CHADEMA hapana , hawa ni waroho wa madaraka, walafi, wazinzi, wenye kuhubiri udini na ukanda. Hawatufai hata chembe, Mungu tuepushie mbali watu hawa aisee !

Well said! Ni kweli kuwa ccm haina budi kung'olewa but chadema iz not next, they have to revive their altitude. Wako kishabiki mnooooo,then wanachosema sicho wanachomaanisha. Am sory!
 
Watanzania wengi walikuwa na imani na Rais Kikwete alipoingia madarakani 2005,wazliamini yeye ndo atakuwa rais bora kuliko walitangulia baada ya nyerere.Lakini imekuwa tofauti na matarajio ya wengi ndo maana wakamtosa kumpa kura 2010 lakini akachakachua! Ila wengi wanaamini Kikwete ni rais mzuri tatizo amaezidiwa kete na matajiri waliomuweka madarakani hivo anatoa maamuzi kwa maslahi yao.
Je wana JF hili mnalionaje?😛layball:
 
Mbona Bingu wa Mutharika alimkana Muluzi ......hizo ni weakness zake mwenyewe Daktari Kikwete
 
Wewe NKOMBEMARO naona unaingia kwa PUPA humu Jamvini tuliza boli usiweke thread za KIMANYAKI humu.
kama huna cha kusema ni bora ukakaa kimya na si kurusha thread nyingi bila mpango .:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::rain::rain:
naona unazo 9 tu sasa tupe vitu vya maana si upuuzi km huu usio na kichwa wala miguu.
 
Visingizio, yeye kipofu lazima azidiwe kete kila mara? Wacha janja yako hapa
 
Wewe NKOMBEMARO naona unaingia kwa PUPA humu Jamvini tuliza boli usiweke thread za KIMANYAKI humu.
kama huna cha kusema ni bora ukakaa kimya na si kurusha thread nyingi bila mpango .:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::rain::rain:
naona unazo 9 tu sasa tupe vitu vya maana si upuuzi km huu usio na kichwa wala miguu.
no coment kaka,ila lisemwalo lipo!
 
Watanzania wengi walikuwa na imani na Rais Kikwete alipoingia madarakani 2005,wazliamini yeye ndo atakuwa rais bora kuliko walitangulia baada ya nyerere.Lakini imekuwa tofauti na matarajio ya wengi ndo maana wakamtosa kumpa kura 2010 lakini akachakachua! Ila wengi wanaamini Kikwete ni rais mzuri tatizo amaezidiwa kete na matajiri waliomuweka madarakani hivo anatoa maamuzi kwa maslahi yao.
Je wana JF hili mnalionaje?😛layball:

Mtu mzima anaposhauriwa jambo la kipumbavu then yeye akikubali ushauri huo, ule upumbavu unahama toka ktk jambo hilo na kuhamia kwa aliyeshauriwa! Na huko kuzidiwa kwake ndiko kunakom-disqualify kuwa president of the URT! Kama alikutuma hivi kwa gt, kamwambie wana Jf wanamshauri akae bench ili aingie ambaye hatazidiwa na matajiri-upo mjumbee?
 
Tunasikia maumivu we achatu ila anayodhamira ila walio mzunguka ndo tatizo
 
Kwanini ukubali madaraka makubwa hivyo if you know you can not handle? :disapointed:
 
Back
Top Bottom