ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Wacha uwongo ww ilo andiko la mchungaji wako nini,umesahau kimuingiacho mtu si najisi bali kimtokacho,kula kwa afya..Ulimi ni kiungo kidogo sana lkn uupeleka mwili wote motoni,asiye na kiasi si tu hafai kuwa mkristo bali kuishi,kuleni nyie lkn msiwape/wakatazeni watoto wenu wasile.Nguruwe si chakula ni takataka,uchafu MSILE.Aipendaye nafsi atazingatia