mimiks
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 1,416
- 2,802
Last edited by a moderator:
Unawezaje sema havikuliwa wakati kuna makatazo ya A.Kale,na ikiwa kiingiacho kinywani(chakula) hupita tumboni kikatupwa chooni bali vitokavyo moyo ndio najisi,Je chakula chatoka moyoni.ZionGate and other(mosi Mungu aniongoze )ufafanuzi.wapendwa Yesu alizungumzia vyakula atumiavyo binadamu na kwa mapokeo ya wazee waisrael si halali kula pasipo kunawa mikono,Yesu hakuzungumzia wanyama najis(maana hawakuliwa)pia tutofautishe mnyama najis(haramu) na unajis mwingine mf mtoto me wa 9 day asipo tahiriwa anaitwa najis(mila za kiyaudi)wanyama najisi hawaliwi wala mizoga yao haiguswi...ufafanuzi zaidi www.fb/sebastian.mayanilongfellow
Nimeliona kosa langu ni Isaya 66:17 wala me si muislam na siwezi kuwa
Mi naona hapo kosa lake ni kuiba tu,kwani mbona waislam wengi wanagonga maji ya breweries na hakuna kesi?Weka picha
Nipe dhambi ya nguruwe ikiwa utakaso wa mtu si chakula bali moyo
Asee hata gauti haleti atii......ni white meat ile!
![]()
Anayefurahia utamu wa nguruwe hana tofauti na yule anayefurahia utamu wa mavi
Hilo halimzuii kuwa mtamu. Pika aive uone kama utaugua. By the way, wizara ya afya haijatuzuia kumla eti kwa vile anayo 40. Kumbuka kuwa, "whatever we eat, contains some poisonous stains!!!"
Ikiwa Musa ndie aliesema na wayahudi wakamfuata ila alipokuja Yesu akawaruhusu wale(bila kunawa mikono) ili hali Musa alikataza..Ni Mungu kupitia mtumishi wake Musa ndiye aliyesema wanyama najisi wasiliwe,kuhusu dhambi yake sina mamlaka kujua .Natii kwa kuwa imenipasa kufanya hivyo na kushauri na wewe(and other)tutii neno la Mungu bila kuulizauliza.swali tunda lile la mti wa maarifa lilikuwa na nn hata limlete mauti baba yetu Adamu?
Unawezaje sema havikuliwa wakati kuna makatazo ya A.Kale,na ikiwa kiingiacho kinywani(chakula) hupita tumboni kikatupwa chooni bali vitokavyo moyo ndio najisi,Je chakula chatoka moyoni.
Vp matendo ya Mitume10:9-16
Ikiwa Musa ndie aliesema na wayahudi wakamfuata ila alipokuja Yesu akawaruhusu wale(bila kunawa mikono) ili hali Musa alikataza..
Vp matendo ya mitume10:9-16
Haya sasa kaeni attention niwape habari kamili;
IMAMU mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza, amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe kitimoto.Waislam hao walivamia kituo cha polisi baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam.
Dah! huyo naye mbona kaniwayi?:rain:No longer news..!
sawa kabisa, we ni mkristo ila unatafsiri Biblia kiislam au kama wapinga Kristo a.k.a Waislam
Mkuu onja basi japo kwa macho