Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,469
IMAMU mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza, amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe ‘kitimoto'.
Waislam hao walivamia kituo cha polisi baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam.
Source: Global Publishers!
Waislam hao walivamia kituo cha polisi baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam.
Source: Global Publishers!