Naomba tafsiri ya Mt.15:10-20Niliacha kula pork nikwa 9yrs kwa msaada wa rafk baada ya kunionyesha vfungu vya Isaya 66:1,65:3.hvyo si mbaya kuwaelimisha wengne.
Salama leko wallahi,kitu maftah!!?
Asee hata gauti haleti atii......ni white meat ile!
![]()
Niliacha kula pork nikwa 9yrs kwa msaada wa rafk baada ya kunionyesha vfungu vya Isaya 66:1,65:3.hvyo si mbaya kuwaelimisha wengne.
Mkuu hapa ndio JF, the home of double standards!!!imam alafu mwizi? kuna uimam kweli hapo? hana tofauti na wale wanaoitwa mapadri alafu wanalawiti, ila leo nimeshangaa wagalatia wote wamemwamini shigongo kisa ishu ni negative to muslim ila ingekuwa ishu nyingine ungesikia hatutaki udaku! ama kweli viumbe wagumu nyie
ayaaaah! Tamu hii kitu. Si angeenda pale Nyakato milango nane. Huwa tunakuwa na akina Said wengi tu
ole wao wanafiki, na wala nguruwe
Weka picha
Nimeliona kosa langu ni Isaya 66:17 wala me si muislam na siwezi kuwausitafsiri Biblia kiislam.
Hilo halimzuii kuwa mtamu. Pika aive uone kama utaugua. By the way, wizara ya afya haijatuzuia kumla eti kwa vile anayo 40. Kumbuka kuwa, "whatever we eat, contains some poisonous stains!!!"
Nipe dhambi ya nguruwe ikiwa utakaso wa mtu si chakula bali moyokwako ZionGates na kwa faida ya wengi.Biblia inasema Math 15:10-20Akawaita makutano akawaambia 11Nisikilizeni sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho unajisi 12,13,14,15,16,Yesu akama hata ninyi nanyi mngali hamna akili?Hamjafahamu bado kuwa kiiniacho hupita tumboni kikatupwa chooni,Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni ndivyo vimtiavyo mtu unajisi kwa maana moyani uuaji,uzinzi,uuaji,uasherati,wivi,...,20Hayo ndiyo yamtiayo mtu unajis......,»
Iliwa Allah amekataza kula mnyama huyo huoni kama kuna jambo hapo ? Maradhi and so on.