BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,994
- 2,045
Mkuu, hakuna sehemu niliyosema kwamba sebastian longfellow njoo tukale kitimoto, wala sijakulazimisha mkuu. Hivi kweli unategemea nitaenda huko motoni kwa kula nguruwe???Hapana mkuu. Ila hii kitu tamu acha aisee tunafaidi.Ulimi ni kiungo kidogo sana lkn uupeleka mwili wote motoni,asiye na kiasi si tu hafai kuwa mkristo bali kuishi,kuleni nyie lkn msiwape/wakatazeni watoto wenu wasile.Nguruwe si chakula ni takataka,uchafu MSILE.Aipendaye nafsi atazingatia
Last edited by a moderator: