Imamu anusurika kifo kwa wizi wa ‘kitimoto’

Imamu anusurika kifo kwa wizi wa ‘kitimoto’

Status
Not open for further replies.
Huu upuuzi ukiuongelea kanisani watakusifia kwa jina la bwana
 
Uwiii mate yamenitokaje!!!kesho lazima nitafute hii kitu


Sent from my iPhone using JamiiForums

afu ukimaliza unashushia na serengeti mbil taratiiiibu.Shav lazma likutoke.ANGALIZO.,usiendekeze sn hii k2 ukaja fu2ka kakitamb bibie!
 
#Makamee
Njoo umsikie Imamu huku.
Hivi hawa jamaa watajificha ficha mpaka lini?
Halarisheni ndugu zanguni,kitimoto kiwe ruksa sio hadi kwenye njaa na vita tuu?
 
Ni jambo nililolifanya,nalifanya na nitalifanya,ukinunua TV utapewa ktabu maalumu cha maelezo ya namna ya kuitumia hyo TV.Biblia ni mfano wa hicho ktabu kwa hicho wanadamu wataishi."ombeni mtapewa"

Wewe ni msabato, nakushauri kajiunge na waislamu wenzako, mana inaonekana hata biblia yenyewe huwa unasoma kwa kurukaruka.
 
makuhani huchukua mizigo mizito na kuwatwisha wengine wao wenyewe wasiiguse hata kwa kidole
Kuwatwishaje hili umesema Musa alikataza wasile najisi wakati Yesu karuhusu wale,Je mafundisho ya Musa alikosea,leo mpaka uje kwenye mstari,vp 1wakorintho6:12-13
 
IMAMU mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza, amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe ‘kitimoto’.

Waislam hao walivamia kituo cha polisi baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam.

Source: Global Publishers!
kama siyo kahtaan huyo basi atakuwa jamaa yake!
 
jibu ni hili petro ni myaudi anakir ajawai kula kitu najisi je n mapokeo gan hayo(aya na chuo tafadhali)i? wasiotairiwa waliitwa najisi hivyo Mungu ali2mia mf wa wanyama najis kwani daima u2mia mifano ya wanyama
Warumi14:1-4
Yeye alie dhaifu wa iman mkaribisheni walakin msimuhukumu mawazo yake,mtu mmoja anayo iman anakula VYOTE lakini alie dhaifu anakula mboga.....
Kasome pia Rum14:13-14
Marko7:19
 
Kuwatwishaje hili umesema Musa alikataza wasile najisi wakati Yesu karuhusu wale,Je mafundisho ya Musa alikosea,leo mpaka uje kwenye mstari,vp 1wakorintho6:12-13

1Wkrnth6:12-13 awali nilisema vyakula ni vile vilivyoruhusiwa kutumika kama chakula (wanyama, walawi 11;1)wala Yesu hakuruhusu,ila ni tabia za mafarisayo math 23;2.kama ni chakula kwa nini Yesu aruhusu mapepo kuwaingia naye akijua ni chakula?
 
Kuwatwishaje hili umesema Musa alikataza wasile najisi wakati Yesu karuhusu wale,Je mafundisho ya Musa alikosea,leo mpaka uje kwenye mstari,vp (1wakorintho6:12-13)
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu lakini sitatiwa chini ya uwezo wa kitu chochote.
 
Vitu vyote ni halali kwangu, lakini si vyote vifaavyo; vitu vyote ni halali kwangu lakini sitatiwa chini ya uwezo wa kitu chochote.
Mbona umeandika nusu weka andiko lote kama nilivyoonyesha mistari
 
Warumi14:1-4
Yeye alie dhaifu wa iman


Nimesoma marko nikagundua kuwa wewe unafikiri neno linahalalisha kitu chocote,ndege,mnyama yoyote kwakuwa ameingia mdomoni bac hakuna tatizo,kamateni mapaka yote,mavyura,makenge,makonono kuleni,ila Mungu si kigeugeu ikumbukwe wana waisrael walikuwa na mioyo migum hata wanyama hawa walipewa tu ila kabla gharika wanyama hawakutumika kama chakula,mioyo hii haikuishia hapo walitaka talaka na mitala.leo wanataka fisi waliwe. Aisee
 
1Wkrnth6:12-13 awali nilisema vyakula ni vile vilivyoruhusiwa kutumika kama chakula (wanyama, walawi 11;1)wala Yesu hakuruhusu,ila ni tabia za mafarisayo math 23;2.kama ni chakula kwa nini Yesu aruhusu mapepo kuwaingia naye akijua ni chakula?
Unasema Yesu hakuruhusu wakati kasema mwenyewe kimwingiacho mtu hakimtii unajisi bali kitokacho wakati kwenye torati kinasema ni najisi,marko7:19 anasema,
Kwa sababu hakimwingii moyoni ila tumboni tu kisha chatoka kwenda chooni",akaendelea,kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote",hapo napo hakuruhusu...
 
Niliacha kula pork nikwa 9yrs kwa msaada wa rafk baada ya kunionyesha vfungu vya Isaya 66:1,65:3.hvyo si mbaya kuwaelimisha wengne.

Mkuu bila shaka wewe si Myahudi ambaye halitambui Agano Jipya ambalo ndiyo utimilifu wa Agano la Kale (Mtayo 5:17). Sina hakika na umri wako sasa lakini kama u zaidi ya miaka 9 nakushauri acha kukaririshwa. Soma na agano Jipya. Kwa msaada zaidi juu ya msimamo wa Agano Jipya kuhusu hija hii soma hapa"

Acts 10:9-16

Peter's Vision
[SUP]
9 [/SUP]About noon the following day as they were on their journey and approaching the city, Peter went up on the roof to pray. [SUP]10 [/SUP]He became hungry and wanted something to eat, and while the meal was being prepared, he fell into a trance. [SUP]11 [/SUP]He saw heaven opened and something like a large sheet being let down to earth by its four corners. [SUP]12 [/SUP]It contained all kinds of four-footed animals, as well as reptiles and birds. [SUP]13 [/SUP]Then a voice told him, "Get up, Peter. Kill and eat."
[SUP]14 [/SUP]"Surely not, Lord!" Peter replied. "I have never eaten anything impure or unclean."
[SUP]15 [/SUP]The voice spoke to him a second time, "Do not call anything impure that God has made clean."
[SUP]16 [/SUP]This happened three times, and immediately the sheet was taken back to heaven.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom