Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 749
usihukumu usije ukahukumiwa.
-
Imeeandikwa: walao nguruwe, na wanafiki, wakiwemo wanaojidai hawali nguruwe, huku wanakula kwa siri, wamekwishalaaniwa, na hukumu i juu yao
usihukumu usije ukahukumiwa.
huwa siwaelewi watu ambao wanajipendekeza kumsaidia mungu kazi yake, kama hiyo nyama ni najisi hilo ni suala lake na muumba wake linawasumbua nini? This is the sign of luck of confidence and fear.
Hahahahaa, huyu mdudu ni mtamu balaa. Kwanza haui na hana sumu!
Hahahahaa, huyu mdudu ni mtamu balaa. Kwanza haui na hana sumu!
Hahahahaa, huyu mdudu ni mtamu balaa. Kwanza haui na hana sumu!
Ukiwa hujawahi kutumia hiyo kitu ukionja huwezi kuacha, pole sheikh, si uhame dini!!!
Kamata hiyo hapo, kajichinjie mwenyewe usije kwenda kuiba watakutoa roho bure!
View attachment 144843
Nguruwe ni mnyama mwenye baraka zote toka kwa Mungu.....Imam hakunchanganya Imani na afya hakika......
Pole pole Mkuu utaniacha nitoroke ofisiniPole............
![]()
Hahahahaa, huyu mdudu ni mtamu balaa. Kwanza haui na hana sumu!