Imamu anusurika kifo kwa wizi wa ‘kitimoto’

Imamu anusurika kifo kwa wizi wa ‘kitimoto’

Status
Not open for further replies.
aaaah, KESI NDOGO SANA HIYO KAMA HAKIMU AKIWA MKRISTU, ILA NAFIKIRI HATA ALIYEIBIWA KAMA NI MKRISTU BASI WATAYAMALIZA NJE YA MAHAKAMA.
 
Hilo diko ni tamu aisee.Umeshanitia nyege za mdomo hapa nisingekula hili nguna na haya mahindi ya kuchoma,walahi ningepandisha kule mitaa ya hosptali nikapge hata nusu.

Ni PM nikupeleke kwa wapishi bora ukitaka ya kuchoma, rost, kavu, kongoro n.k
 
IMAMU mmoja ambaye hakufahamika jina lake wa msikiti wa Kisesa Jijini Mwanza, amenusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na Waislam wenzake akiwa kituo cha polisi Kisesa anaposhikiliwa kwa wizi wa nguruwe ‘kitimoto’.
Waislam hao walivamia kituo cha polisi baada ya kupata taarifa za Imamu huyo kudaiwa kuiba nguruwe ambaye anajua ni najisi kwenye dini ya Kiislam.

Source: Global Publishers!

Kwanza Leta ushahidi ndio tutakuamini.
 
huyu mdudu bwana yan ukimuangalia kabla ya kuchinjwa unaweza ukajisemea moyon dudu gani hili aggghhh! ngoja akaangwe ndo utaona heshma yake, kwanza mmenijaza mate tu mdomoni hapa ngoja nikastue hata robo loh!!!!!!
 
Mkuu tulia, kibaya kwako, kwa mwenzio kizuri na kinyume chake.Kula kitu roho inapenda!!!

Ulimi ni kiungo kidogo sana lkn uupeleka mwili wote motoni,asiye na kiasi si tu hafai kuwa mkristo bali kuishi,kuleni nyie lkn msiwape/wakatazeni watoto wenu wasile.Nguruwe si chakula ni takataka,uchafu MSILE.Aipendaye nafsi atazingatia
 
Pole............

DSC00055.JPG

Mkuu Safari_ni_Safari hebu tuoneeni huruma wenzenu. Wengine bado tuko kazini halafu mnatuonyesha matamanio kiasi hiki na muda wa kwenda kushushia na Kinana bariiidi haujafika! Sasa hapa kweli kazi itafanyika wakati mawazo yote kwa mdudu?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ulimi ni kiungo kidogo sana lkn uupeleka mwili wote motoni,asiye na kiasi si tu hafai kuwa mkristo bali kuishi,kuleni nyie lkn msiwape/wakatazeni watoto wenu wasile.Nguruwe si chakula ni takataka,uchafu MSILE.Aipendaye nafsi atazingatia

Ukienda China wewe utajinyonga. Au kaishi umakondeni utasema vinginevyo ndugu yangu. Usitafsiri maneno ya vitabu vitakatifu juujuu. Vitabu vile vinataka kwanza uombe hekima ya MUNGU ili upate kuelewa. Ni ushauri tuu.

Ni jambo nililolifanya,nalifanya na nitalifanya,ukinunua TV utapewa ktabu maalumu cha maelezo ya namna ya kuitumia hyo TV.Biblia ni mfano wa hicho ktabu kwa hicho wanadamu wataishi."ombeni mtapewa"
 
imam alafu mwizi? kuna uimam kweli hapo? hana tofauti na wale wanaoitwa mapadri alafu wanalawiti, ila leo nimeshangaa wagalatia wote wamemwamini shigongo kisa ishu ni negative to muslim ila ingekuwa ishu nyingine ungesikia hatutaki udaku! ama kweli viumbe wagumu nyie
 
Dah hii kitu nimetoka kuishughulikia lunch time pale Didi's yaani mpaka time hizi roho yangu Burdaaaann
 
Ulimi ni kiungo kidogo sana lkn uupeleka mwili wote motoni,asiye na kiasi si tu hafai kuwa mkristo bali kuishi,kuleni nyie lkn msiwape/wakatazeni watoto wenu wasile.Nguruwe si chakula ni takataka,uchafu MSILE.Aipendaye nafsi atazingatia

Hivi hapa watu wanatumia ulimi au vidole?
 
-

Mimi nilitumia, na nimeacha maana sioni faida ya kumla huyu mdudu.....Ila kama Mashekhe wanakula basi, wale ila wasiwe wanafiki kupinga hadharani, huku wanakula kwa siri

Uliacha kula nyama kabisa au huyu mdudu specific?Faida kwako ni nini?Ni nini faida ya kula nyama nyingine?Unakosa mabo mazuri sana aisee
 
Anayefurahia utamu wa nguruwe hana tofauti na yule anayefurahia utamu wa mavi
 
Hivi mbona nackia ukiweka kitimoto majini wanakimbia inamaana hawa wanaoogopa kitmoto ni majini??? Msaada kwenye tuta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom