Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
You say whatever you want to say but I do remember you sort of cosigning. Specifically sikumbuki title ya thread lakini majadiliano yalikuwa ni ukigeugeu (flip-flopping) wa Zitto. Ipo hapa sehemu...wenye muda kama wakitaka wataifukua.
Ahahahahahahaaa...Zitto fatigue this quick? Aren't you the one who sort of co-signed on his potential? And now you claim Zitto fatigue? Well, you better brace yourself coz he's just getting started. He's not fitting to go away anytime soon.
To me Zitto is an attention ho and he savors the limelight he is in.
Hahaaaa,
Kwanza umeanza confidently ukasema nime cosign.
Sasa polepole una backpedal unasema "sort of" cosigning, halafu sio tu huwezi kutoa link ya thread, hukumbuki hata title!
Wewe ndio hukunisoma vizuri tokea mwanzo. Nimesema "sort of" tokea bandiko langu la kwanza. Hakuna cha backpedalling wala nini. Hayo ni maruweruwe yako tu. Rudi ukurasa wa kwanza ukanisome vizuri. Soma sentensi nzima na si kuishia katikati na kudhani unajua tayari nilichosema au nnachotaka kusema.
Unataka kuniambia umesahau tulipokuwa tunabishana kuhusu ukugeugeu wa Zitto? Mimi siyo kwamba siwezi kutoa link na title, ni kwamba inahitaji muda kwelikweli maana thread za Zitto zipo lukuki humu.
Nimeshaeleza kuwa, uzuri mmoja wa kuwa objective, kuwa impartial, ni kwamba huwezi kupinga kila kitu anachosema Zitto, na wala huwezi kukubali kila kitu.
Kama wewe umeona mimi kuwa in the same alignment na Zitto kwenye hoja fulani ni "ku cosign" naye sawa.
Lakini mimi nimekupa mfano jinsi Zitto alivyoanza kusikika, kabla hata hajaja kuwa member hapa, nilivyomrarua. Tena nikatoa unabii kama nilioutoa kwa Pinda siku ya kukubali u PM kwenye parliament, nikawaambia watu huyu anavyoanza tu, anaonekana disappointment.
Kuja kuangalia he, kweli.
Akaja Zitto akaleta hoja yake ya ethics hapa, nikawa mtu pekee niliyeichangia kwa kina in my signature toe to toe style, niki quote kila kipengere na kutoa critiques.
Sasa huyu ni mtu niliye cosign naye?
Mjadala niukumbukao mimi haukuwa kuhusu kukubaliana au kupingana naye katika hoja flani. Kwa mtu yeyote makini, mwenye mawazo huru hawezi kukubaliana na mtu au kupingana na mtu kwa wakati wote kwa asilimia 100.
Mjadala niukumbukao mimi ulikuwa kuhusu leadership skills za Zitto. Mimi nilichukua msimamo wa kwamba mtu kigeugeu si kiongozi mzuri kwa sababu ina call into question his/ her judgement. Wewe kwa upande wako, ulimpamba Zitto na uwezo wake wa uongozi.
Zitto fatigue has set in here.
Zitto this, Zitto that, give me a break.
Who is Zitto? The Tanzanian Octomom?
Even Octomom took a break from the news.
eeh!Bluray, its pathetic!!!
Kuna baadhi ya waandishi na hata baadhi ya viongozi (upinzani na CCM) hata zitto akiwaomba ndoa watakubali
It is so low kwa haya magazeti
HAMA WEWE BANA!hawa wanabishana materially!Vijana Julius na Bluray,
Tafadhali sana, kama hamna la kuchangia kuhusu mada iliyopo, basi hamishieni hiyo mipasho yenu kwenye nyepesi-nyepesi/ udaku/ uzushi forums maana humu mnaharibu ladha ya majadiliano na kujaza kurasa bila sababu.
"Kimsingi Kigoma yote hakuna mwanachama wa Chadema aliyefurahishwa na kitendo kilichofanywa na viongozi wa chama hicho kuwaengua na wote wana hamu kubwa kumsikiliza Kafulila".
Alisema katika ziara hiyo, wanachama hao wanatarajia kurudisha kadi za Chadema na kujiunga rasmi na chama cha NCCR-Mageuzi.
eeh!
HATARI
Habari hizo zilidai kuwa katika mazungumzo hayo, Dk Slaa alisema kitendo cha Mbowe kumtaka atekeleze agizo lake la kuwafuta uanachama Kafulila na Juju amemfanya aeleweke vibaya kwa watu wake wa karibu.
Habari zilifafanua kuwa Dk Slaa alimweleza Mbowe kuwa shughuli nyingi ndani ya chama hicho anazifanya kwa kujitolea na kwamba kama ni Ubunge angeweza kuupata hata kama angekuwa mwanachama wa chama kingine na kusisitiza kuwa anayoshutumiwa na watu kuhusu uamuzi wa kuwavua nyadhifa Kafulila na Juju aliujua kabla.
Vijana Julius na Bluray,
Tafadhali sana, kama hamna la kuchangia kuhusu mada iliyopo, basi hamishieni hiyo mipasho yenu kwenye nyepesi-nyepesi/ udaku/ uzushi forums maana humu mnaharibu ladha ya majadiliano na kujaza kurasa bila sababu.
CHADEMA ..... wanachama wanataka kurudisha kadi kwa mamia kama sio maelfu.
Sijui itakuwaje siku Lowassa au Mwakyembe anamfadhili Mnyika jimbo la Ubungo, je kutakalika ?