Wasenegal
na Afrika kusini wamepewa fursa ya kuongea na rais anayetawala taifa
kubwa kabisa kwenye uso wa dunia,wamebeba mabango kupinga ushoga,sisi
tumeambiwa tutapigwa na Pinda.TUNAJENGA TUNABOMOA?Ni haki yetu na ndo
fursa ya mtu wa chini toka dunia ya tatu kutoa hisia zake za
ndani,angalau kwa kusimama pembeni mwa barabara na bango,ccm napo mnaona
tutawaabisha.ni woga wa ajabu sana,hata Obama ni mzoefu wa maandamano,wao wana falsfa yao inayomtaka kila mwananchi kujieleza kwa uhuru,acheni ufukara wa kifikra,ni janga kwa taifa