Images: Pres Barack Obama in Senegal

Images: Pres Barack Obama in Senegal

Nazisubiri za kwetu_siku akitua bongo land.....najua michuzi ataweka page mzima siku hiyo.
 
Moment kama hii ikifika, sijui Mama yetu Ze Festi Ledi ataweza kutema yai vizuri au itakuwa ni kutikisa kichwa na tabasamu kibaoooo....

5284812_orig.jpg

Du! hata mimi nimweza hivyo hivyo. Mbona patakuwa padogo!
 
wewe yule alikuwa ticha wa A level halafu kapewa mazoezi ya kutosha na Mr. mi nahisi ndo sababu moja wapo ya kusogezwa mbele hii ziara, kuna walimu walikuwa wamemzunguka wa aina ya 'si uchawi english college' kuhakikisha hakumbani na changamoto kama hizo, pia lazima awsiliane na huyo mama kujua alikuwa anaongelea nini?

Huo Ualimu wa A-Level aliupata wapi? Hebu nijuze tafwazali....mara ya mwisho nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 alikuwa ni mwalimu hapo Mbuyuni Primary School enzi za kina Mwl. Omary, Mwl. Nassoro, Mama Mushi na wengineo...
 
Huo Ualimu wa A-Level aliupata wapi? Hebu nijuze tafwazali....mara ya mwisho nakumbuka mwanzoni mwa miaka ya 90 alikuwa ni mwalimu hapo Mbuyuni Primary School enzi za kina Mwl. Omary, Mwl. Nassoro, Mama Mushi na wengineo...


angalia mnataka kujadili CV ya first lady! tukianza kujadili za viongozi wenu wa CDM povu zinawatoka...
 
Taratibu mkuu hakuna mtu anayejadili CV ya mtu hapa...soma mwanzo wa haya yote ndio utajua nini tunachoulizana.
Btw sio kila Mtanzania ni mwanachama au mfuasi wa vyama vya siasa, wengine huo utumwa hatuna

angalia mnataka kujadili CV ya first lady! tukianza kujadili za viongozi wenu wa CDM povu zinawatoka...
 
Namshukuru Jakaya kwa kumleta Obama sasa dunia yote itaiona Dar. Du bonge la ujiko!
 
Taratibu mkuu hakuna mtu anayejadili CV ya mtu hapa...soma mwanzo wa haya yote ndio utajua nini tunachoulizana.
Btw sio kila Mtanzania ni mwanachama au mfuasi wa vyama vya siasa, wengine huo utumwa hatuna


Ahan nisamehe bana.. nimekurupuka
 
.
Basi kama kuna ubaguzi kwa viumbe ni ule wa Mungu aliouweka kati ya wana wake na shetani. Na chochote kile katika uumbaji ambacho kinywa cha Muumba kimenena dhidi yake hakuna aweye yote kutoka kokote kule anaeweza kuwa kunyume akafanikiwa. Maumbile yameumbwa kama yalivyo na kanuni zake. Kujaribu kuyaharibu maumbile ni kujiandaa kuvuna uharibifu. Kiza kipo na ni wakati wa usiku na nuru ipo na ni wakati wa mchana nuru pekee ndio iwezayo kuliondoa giza lakini sii hata siku moja giza linaweza kuiondoa nuru. Kweli ndio daima iliyotangulia, na uongo ulikuja nyuma kama jitihada za kuifanyia kweli vurugu. Hivyo ndivyo alivyo Mungu na shetani, tendo halali la ndoa na uzinzi, maumbile katika kanuni zake na ukinyume na maumbile nk. Maandiko matakatifu yamekataza mahusiano ya kingono kinyume na maumbile hivyo ni wajibu kumheshimu Mungu kuliko hata riziki yetu ya siku. Hata kama baazi hawamheshimu zaidi ya yule wa shimoni, Mungu muumba ameheshimika milele. Kupigia chupuo uhalali wa ndoa za jinsia moja ni kufanya jitihada za kuhalalisha kuzimu katika makazi ya uzao wa Adamu. WANA WA MUNGU TUILINDE MASKANI YETU KAMA WAKATI ULE TULIPOMFUKUZA SHETANI MBINGUNI KWA MSAADA WA MALAIKA MICHAEL APIGANAE UPANDE WETU!!
.
Nakubaliana na wewe,lakini hayo ni mambo ya imani.Ni serikali chache sana hapa duniani zenye dini.So inapokuja kwenye usimamizi wa haki za binadamu,si shaka serikali haitakiwi kupromote ubaguzi.
 
Akija tz bendera zote zitakuwa za USA siyo kama senegal
 
History! First US black president in his 2nd term. Welcome home Mbaraka Obama
 

Nasubiria nione tenge la Urafiki na lemba liloenda shule kutoka kwa ''festi ledi ''wetu mama Salma Kikwete,lazima amuonyeshe ''Mchele Obama'' kuwa nasi bongo twaweza tukiwezeshwa ala!
 
Viongozi watarajiwa, mnaona first led walivyo physical fit!! Jaribuni to compare with our first led in Africa kama sio kichekesho tu, SIJUI NI CHAPATI WANAKULA SANAA
 
Back
Top Bottom