Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,662
- 9,976
Hao akina Malia na Tasha wameweka nini kwenye mabegi?
Wameweka nyenzo za wakina dada (poda, simu, hereni etc) au we unahisi wameweka DHAHABU?

Obama si kwamba anapenda magay,ila ile dhambi na ule uchungu wa kubaguliwa unaweza kukubadilisha na ukakataa kiumbe yeyote asibaguliwe.Simtetei Obama lakini I understand where he comes from!
Tusubiri picha za kwetu, wamependeza
Obama si kwamba anapenda magay,ila ile dhambi na ule uchungu wa kubaguliwa unaweza kukubadilisha na ukakataa kiumbe yeyote asibaguliwe.Simtetei Obama lakini I understand where he comes from!
KakaJambazi ushanusa dili kwenye hayo mabegi?Hao akina Malia na Tasha wameweka nini kwenye mabegi?
yule mtu wetu anavyopenda kupiga picha sipati picha anavyo jianda kupiga picha...