Prejudice is against human right. Homosexuals are there and are humanObama si kwamba anapenda magay,ila ile dhambi na ule uchungu wa kubaguliwa unaweza kukubadilisha na ukakataa kiumbe yeyote asibaguliwe.Simtetei Obama lakini I understand where he comes from!
Kwetu sijui tutaenda kumtembeza wapi? Tumetelekeza vivutio vyetu vingi vya makumbusho, huko mbugani sijui kama kutakuwa na vyombo vizuri vya usafiri vya kuweza kumpakiza Rais wa USA kama tulishindwa kumsafirisha marehemu Michael Jackson. Itabidi tuwaombe Ze Komedi wampe shoo...
jmushi1 said:Obama si kwamba anapenda magay,ila ile dhambi na ule uchungu wa kubaguliwa unaweza kukubadilisha na ukakataa kiumbe yeyote asibaguliwe.Simtetei Obama lakini I understand where he comes from!
Nakubaliana na wewe kwenye hili
Hawa watoto wa Obama ni wakali kweli,sijui nitawapate .
Mie binti zao tu jamani lol!
Mabinti ni warembo kweli
Loooh! kumbe hata wazungu nao walifanya biashara za utumwa?! mie nilidhani waarabu tu maana wanasakamwa sana kwa biashara hii !leo nimefahamu
Mbona ni mabinti wa kawaida sana....? Huo "urembo kweli" uko wapi? Au ni kwa vile tu ni watoto wa rais wa Marekani ndo maana unadai ni warembo kweli....?
Macho yangu na yako ni tofauti, unachokipenda wewe si lazima mimi nikipende wala ninachokipenda mimi si lazima wewe ukipende, macho yangu yameona kuwa ni warembo so sijakulazimisha wewe uamini kama ni warembo
Malia na Sasha ni warembo kwelikweli, hutaki kojoa ukalale
Moment kama hii ikifika, sijui Mama yetu Ze Festi Ledi ataweza kutema yai vizuri au itakuwa ni kutikisa kichwa na tabasamu kibaoooo....
![]()
Hao akina Malia na Tasha wameweka nini kwenye mabegi?
Sioni urembo wowote ulio kwelikweli. Ni ubabaikaji wako tu kwa vile ni watoto wa rais wa Marekani. Hutaki jamba ukanye.:becky: