Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,998
- 103,385
Mkuu tunaruhusiwa kuuliza maswali kwenye vipengele vitakavyotutatiza?
Unaruhusiwa sana, sio kwa hiyo ilani ya cdm tu, hata ya chama chochote. Ila tegemea changamoto ya majibu.
Mkuu tunaruhusiwa kuuliza maswali kwenye vipengele vitakavyotutatiza?
Sisi wasomi hatusikilizi mawazo ya hovyo km ya kwako
Tumejiajiri kwenye kilimo wewe endelea kukaa kwa shemeji
[/QUOTE utaona sasa mwaka huu
Kama unataka siasa gombea, ni ajira nzuri tuWasomi nawaomba chonde chonde Msije fanya kosa jipya awamu hii tena heshimu kura yako ndio maisha yako asante
Kama unataka siasa gombea, ni ajira nzuri tu
Hapo unapoteza muda tu
Ulisomea nini huko chuoni?
Wewe umeajiriwa Lumumba kwa buku 7 per day. Masaa yote 24 upo humu kilimo hicho unalima saa ngapiSisi wasomi hatusikilizi mawazo ya hovyo km ya kwako
Tumejiajiri kwenye kilimo wewe endelea kukaa kwa shemeji
mkuu hali zetu mbaya sana mkuuWapo watakao kubeza but umesema ukweli.
Watu wanaongelea Tanzania wewe unaongelea Afrika? What a foolish argument?Ajira zimeanza kuwa tatizo nchi nyingi za Afrika na sio Tanzania pekee.
CDM ambao kila miaka michache wana agiza tshirts toka China, skafu na bendera; ujue hata nao wakiingia hawana jipya.
So far JPM ana chance ya kufanya makubwa, ila ikiwemo kuzalisha ajira kwa kuputia viwanda vinavyochakata mazao ghafi.
Ili mambo haya yatokee, hahitaji kuzungukwa na MATAGA na praise timu pekee; anatakiwa apata access ya watu wanao-stretch ili aone kwenye angle tofauti afanye zaidi.
Bahati mbaya ni ngumu sana kumpata na baadhi ya wasaidizi wake wanambania sana asipatikane.
Ana sifaya kuwa decisive on issues, tumchagueni na kushinikiza red tapes zivunjike ili mtu akiwa na investment project kubwa, Rais awe accessible.
TIC, TIB na EPZA wanachelewesha mambo na hawana power ya kufanya mambo yatokee kama una project iliyo nje ya scope ya policy zao.
Policy za TIC na TIB zahitaji upgraded kuendana na kasi ya JPM.
Tumpeni 5 tena; ila tudai access yake kwa issues ambazo wasaidizi wake hasa mawaziri hawana uwezo kuzifanyia kazi, wengine ni waoga; wengine hawana big picture project investment strategy.
Sisi wasomi hatusikilizi mawazo ya hovyo km ya kwako
Tumejiajiri kwenye kilimo wewe endelea kukaa kwa shemeji
Siyo kweli. Wewe kila dakika kila sekunde upo humu JF kumtetea John na serikali yake. Wewe umeajiriwa Lumumba na unalipwa buku 7 kwa siku.Tumejiajiri kwenye kilimo