Uchaguzi 2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

"Mtu asije kuwadanganya kuwa hamtakuwa mnalipa kodi hata Marekani wanalipa kodi, hata hizo nchi zilizoendelea huko Ulaya wanalipa kodi. Hata katika vitabu vya dini vinasema vya Kaisari mpe Kaisari vya Mungu mpe Mungu, utaendeshaje nchi bila kodi?" Raisi Magufuli
 
Wasomi nawaomba chonde chonde Msije fanya kosa jipya awamu hii tena heshimu kura yako ndio maisha yako asante
 
Sisi wasomi hatusikilizi mawazo ya hovyo km ya kwako
Tumejiajiri kwenye kilimo wewe endelea kukaa kwa shemeji
 
Wewe umeajiriwa Lumumba kwa buku 7 per day. Masaa yote 24 upo humu kilimo hicho unalima saa ngapi
 
Kikubwa utakaemchagua uwe na hakika kuwa hata tuzamisha baharini..
 
Nyie ndio wasomi ambao mliapa kutokupiga kura na mpaka sasa hamkujiandikisha.
 
Ajira zimeanza kuwa tatizo nchi nyingi za Afrika na sio Tanzania pekee.

CDM ambao kila miaka michache wana agiza tshirts toka China, skafu na bendera; ujue hata nao wakiingia hawana jipya.

So far JPM ana chance ya kufanya makubwa, ila ikiwemo kuzalisha ajira kwa kuputia viwanda vinavyochakata mazao ghafi.

Ili mambo haya yatokee, hahitaji kuzungukwa na MATAGA na praise timu pekee; anatakiwa apata access ya watu wanao-stretch ili aone kwenye angle tofauti afanye zaidi.

Bahati mbaya ni ngumu sana kumpata na baadhi ya wasaidizi wake wanambania sana asipatikane.

Ana sifaya kuwa decisive on issues, tumchagueni na kushinikiza red tapes zivunjike ili mtu akiwa na investment project kubwa, Rais awe accessible.

TIC, TIB na EPZA wanachelewesha mambo na hawana power ya kufanya mambo yatokee kama una project iliyo nje ya scope ya policy zao.

Policy za TIC na TIB zahitaji upgraded kuendana na kasi ya JPM.

Tumpeni 5 tena; ila tudai access yake kwa issues ambazo wasaidizi wake hasa mawaziri hawana uwezo kuzifanyia kazi, wengine ni waoga; wengine hawana big picture project investment strategy.
 
Serikali imeshasema kwa miaka 5 imetengeneza ajira milioni 6, wewe ulikua wapi hauko kwenye hao 6m? Wakati wenzako 6m wanaajiriwa na mishahara mikubwa mikubwa wewe ulikua wapi?
 
Ajira zimeanza kuwa tatizo nchi nyingi za Afrika na sio Tanzania pekee.

CDM ambao kila miaka michache wana agiza tshirts toka China, skafu na bendera; ujue hata nao wakiingia hawana jipya.

So far JPM ana chance ya kufanya makubwa, ila ikiwemo kuzalisha ajira kwa kuputia viwanda vinavyochakata mazao ghafi.

Ili mambo haya yatokee, hahitaji kuzungukwa na MATAGA na praise timu pekee; anatakiwa apata access ya watu wanao-stretch ili aone kwenye angle tofauti afanye zaidi.

Bahati mbaya ni ngumu sana kumpata na baadhi ya wasaidizi wake wanambania sana asipatikane.

Ana sifaya kuwa decisive on issues, tumchagueni na kushinikiza red tapes zivunjike ili mtu akiwa na investment project kubwa, Rais awe accessible.

TIC, TIB na EPZA wanachelewesha mambo na hawana power ya kufanya mambo yatokee kama una project iliyo nje ya scope ya policy zao.

Policy za TIC na TIB zahitaji upgraded kuendana na kasi ya JPM.

Tumpeni 5 tena; ila tudai access yake kwa issues ambazo wasaidizi wake hasa mawaziri hawana uwezo kuzifanyia kazi, wengine ni waoga; wengine hawana big picture project investment strategy.
Watu wanaongelea Tanzania wewe unaongelea Afrika? What a foolish argument?
 
Bia yetu... umekuwa msomi ln na umejiajiri wapi?? Wewe kila siku uko lumumba kt propaganda ukisubiri buku7 daily.
Mahvii matupu
Sisi wasomi hatusikilizi mawazo ya hovyo km ya kwako
Tumejiajiri kwenye kilimo wewe endelea kukaa kwa shemeji
 
Tumejiajiri kwenye kilimo
Siyo kweli. Wewe kila dakika kila sekunde upo humu JF kumtetea John na serikali yake. Wewe umeajiriwa Lumumba na unalipwa buku 7 kwa siku.

Ukizidisha kwa siku 30 za mwezi, maana yake kwa mwezi unalipwa Tshs 210,000/= (laki mbili na elfu kumi tu).
 
Chadema. What is wrong with you. Huo muhtasari ni taarifa ya fedha inahusiana nini na ilani ya kampeni?
Nishasema anayesimamia kitengo cha habari au watendaji wake wanakihujumu chama.

Sent from my SM-G935W8 using JamiiForums mobile app
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom