Ila kuna wanaume wana maringo..

^^
ha ha laana za wafupi ulokuwa unawalalamikia zinakutafuna
^^
hii hoja inanishangaza sana,kila ke atayeibuika anataka me mrefu,haijaelezwa ni urefu gani neno mrefu ni subjective sana!mtoe na vipimo basi! 1175301_427431767367143_469602032_a.jpg huyu nae anataka mrefu yupi sasa!!!!
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

Sijakuelewa mwanamme mzuri anakuwa yukoje?
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

uzuri gani labda......sura,??umbile?au financial status....manake vyote vinaweza sababisha mtu aer mzuri....
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.
Wacha weee
 
na mwanamke mzuri?[/QUOT

Asilimia kubwa ya wanaume wazuri ni vicheche
Afadhali wanawake tuna aibu kidogo, na ni rahisi kumtongoza mwanamke akakukataa lakini sii mwanaume na wanaume wazuri mara nyingi wanapapatikiwa na wadada na kuwafanya kujikuta kuwa na idadi nyingi ya wanawake

ila mishipa ya aibu imebakia kwa wanawake wachache sana.
 
Back
Top Bottom