Ila kuna wanaume wana maringo..

Ila kuna wanaume wana maringo..

mwanume mzuri anakuwaje?[/QUOTE

Ameenda hewani ana kifua kipana na mikono iliojaajaa kulingana na mwili wake ana sura nzuri huu ni mwonekano wa nje
Huyo ni mzuri kwa mujibu wa wewe,kila mtu ana jinsi anavyo define uzuri.
Uniformity iko kwenye wallet na kujua wajibu wake tu,mwanaume pesa na majukumu kifua kipana peleka gym.
 
Anakuwa anaringa au time taker! !!!?????
Yaaani ujaze mashavu foundation ujichekeleshe ukubaliwe kisa nini mtu akiwa na msimamo itasemekana ana ringa sijui ana dharau na kama hayo!!!!!!

Kila kitasa kina funguo yake bhana!!!!!!
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.
Tehe tehe teheee.....Leo ATM wangu lazizi umegoma kutoa wekundu wa Msimbazi ndio maana unaambiwa unaringa. ATM wangu, kwani hawajui kwamba saa nyingine unafulia?
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

umenena....
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=48149
943776_395618740548446_1768850091_n.jpg
 
Mimi siyo kama nakuringia, yaani ndivyo nilivyo kama sikujuwi hata habari yangu hautaisikia....ila ukinisalimia nitakujibu. Mimi niliachana kusalimia kina dada miaka 7 iliyopita kwani ilikuwa kila nikiwasalimia dada habari yako, wao wanarudisha kwa kuniambia wanangu hawajala jana, au nataka pango la nyumba la mwaka mzima. Nimeuliza tu habari nashushiwa mizigo ndiyo maana nikaacha kusalimu. Tafadhali nisamehe, yaani ni uamuzi wangu tu wa kuuchuna kwani sitaki mizigo ya kujitakia wakati kula wanakula wengine vyombo nioshe mie.
hahahaha nimecheka sana daaa jf kuna vituko sana.
Najiuliza hapo kwenye blue ni wewe unayesemwa hapa ni wewe?
 
samahani mwanaume uzuri wa sura ?????
uzuri wa mwanaume kujituma ...ajue wajbu wake kutafuta pesa sura ya kazi gani???amekuwa pambo :israel::israel::israel:
yeye maua or???

Wapi mpoki wa comedy...... mwanaume hasifiwi uzuri inasifiwa pochi.................
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

njooo kwangu me me
cjawai ringa kwa mdada bw
 
Wanawake mnatak kila mwanaume awe anatongoza tongoza tu kilaa kona ndio umuone haringi?
 
you meant what!!!!!!!!

FROM dictionary.com

[h=2]gay[/h] [gey] Show IPA
adjective, gay·er, gay·est. 1. of, pertaining to, or exhibiting sexual desire or behavior directed toward a person or persons of one's own sex; homosexual: a gay couple.

2. of, indicating, or supporting homosexual interests or issues: a gay organization.

3. having or showing a merry, lively mood: gay spirits; gay music. Synonyms: cheerful, gleeful, happy, glad, cheery, lighthearted, joyous, joyful, jovial; sunny, lively, vivacious, sparkling; chipper, playful, jaunty, sprightly, blithe. Antonyms: serious, grave, solemn, joyless; staid, sedate; unhappy, morose, grim; sad, depressed, melancholy.

4. bright or showy: gay colors; gay ornaments. Synonyms: colorful, brilliant, vivid, intense, lustrous; glittering, theatrical, flamboyant. Antonyms: dull, drab, somber, lackluster; conservative.

5. Slang: Often Disparaging and Offensive. awkward, stupid, or bad; lame: This game is really gay.

i meant NUMBER 3 DEFINITION
 
Back
Top Bottom