Naungana na DC Magoti: Wanaume wanaolaumu Wake zao na kulalamikia wanawake sio Wanaume waliokamilika

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
37,200
Reaction score
86,413
Hamjambo!

1. Dc Magoti japokuwa anapenda kuongea kwa misifa, majigambo, na kidogo utani Jambo ambalo wakati mwingine anatoaga Boko. Round hii ninaungana naye kwenye hoja yake hii;

2. Mamlaka hailalamiki. Mamlaka inayolalamika hiyo sio mamlaka.

3. Kauli hiyo ameitoa huku akiwahusisha Wanaume kama watu waliopewa Mamlaka ya kuongoza Mke, watoto na Familia kwa ujumla.

4. Hata Sisi Watibeli falsafa zetu zinamtaka Mwanaume au mwenye mamlaka kutokuwa MTU wa kulalamika Bali kuchukua hatua.

5. Mamlaka ni kuchukua hatua stahiki kwa maslahi ya Mamlaka husika na wale unaowaongoza.

6. Oooh! mke wangu haagi. Nini wewe! Kwamba mkeo haagi hujui chakufanya?
Huna maamuzi? Huna Sheria? Hujui kuongoza?

7. Ooh mke wangu akinuna tuu anaenda kwao. Heee! My friend nafikiri huyo mkeo ndio angepaswa awe Mwanaume alafu wewe uwe jike ili uone yeye angefanyaje.

8. Oooh! Mke wangu anakiburi. Hivi unajua maana ya mamlaka. Hivi uliwahi kuona kiburi kikizidi mamlaka? Nafikiri hujui maana ya Mamlaka.

9. Mamlaka yenye nguvu ipo tayari kufukuza yeyote bila kusita, bila kujali. Bila woga WA kufikiri matokeo. Mtu yeyote ambaye yupo kinyume na Mamlaka.

10. Mwanaume mzima ati unabembeleza Mke mjeuri, kiburi au msaliti. 😆 Hahaha! Kwamba Mamlaka ikubembeleze?
Alafu mamlaka hiyohiyo inatoa chakula, mavazi, na huduma zingine. Hiya labda mamlaka ya Misukule.

11. Usiogope wala kujishauri kupiga chini mtu yeyote asiyekuheshimu. Kwenye familia lazima Baba au mwanaume uhakikishe mambo yote yanaenda sawasawa na matakwa na sheria zako.

12. Mamlaka haiingiliwi. Unapoongoza mamlaka yako. Ukiwawajibisha watu wako hasa wasio na adabu lakini kwa Haki. Usiruhusu watu wa nje ya kukuamulia.

13. Sisi Watibeli, hata kama kuna Watibeli wenye Imani ya Kikristo. Kuna mafundisho hatuyafuati kabisa. Mfano fundisho la kutotoa talaka. Sisi mwanamke akikosa Adabu, na kuvunja baadhi ya Sheria zetu kuu atafukuzwa tuu. Bila kujali imeandikwa wapi, imesemwa na nani, hivyo yaani.

14. Mamlaka haiogopi kuanza Upya. Kufuta na kuanza upya.

15. Hakuna cha tunawatoto wangapi, hakuna tumeishi miaka mingapi, ukizingua unafukuzwa. Tunaanza upya...!

16. Uanaume sio tuu jinsia bali tabia za kifalme na kimamlaka

17. Sio Kulialia kama mtoto au kama mwanamke hapa!

Ijumaa Kareem

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ila hapo kwenye kiburi usipokuwa makini utawatimua wengi sana nadhani kuna scenarios za nisamehe.. ila sio usaliti...ila kwenye jeuri na kiburi bro mamlaka pia inaangaliaga
 
Sitaki kuamini kama shemeji yetu mkeo yule hajawahi kuonyesha jeuri hata kdg
 
Watibeli hatuwezi kuvumilia hata kwa Siku moja kuishi na mwanamke mwenye kiburi au jeuri.
Hatuangalii na hatunaga huo uvumilivu.

Alafu kwetu ni Bora tutimue wengi kuliko kuishi na MTU asiyefuata na kuendana na standards zetu.
 
Sitaki kuamini kama shemeji yetu mkeo yule hajawahi kuonyesha jeuri hata kdg

Kuna watu wakuwaletea jeuri Mkuu.
Ila sio Watu waungwana, wapole, wenye upendo, Wakweli, wenye maarifa, na wapenda Haki.

Iko hivi Mkuu, Watibeli hatuwezi kumuonea MTU, kumletea mtu ujeuri au kiburi. Na kamwe hatutaruhusu kufanyiwa Yale ambayo tunajiepusha kufanyia wengine.

Ila ukianza tunajua namna ya kumaliza. Na show inakuwaga nzuri sana
 
yeah huo ujumbe wako works for muslims na mila mila lkn kwa Christians (#15) haipo, hakuna mambo ya ''kufukuzwa'' kwa Christians, kwani hauwezi ''kumfukuza'' mtu unayampenda na kwanza siyo ubinadamu kumfukuza mtu labda only mila mila and muslims do that sembuse mke wako wa ndoa na pengine mama wa watoto wako unaowapenda ? ...
 
Ukristo pia ni Mila kama ulikuwa hujui
Uislam pia ni Mila.

Kwenye mamlaka ubinadamu utahesabika pale unapotii mamlaka na sio tofauti na hapo. Unapoenda kinyume na mamlaka ubinadamu wako hautazingatiwa.

Ndio Maana Mungu mwenyewe wakati anafukuza Adam na Hawa na kuwapa adhabu kubwa ya kifo, na adhabu kama njaa, magonjwa, vita, miiba, kuzaa Kwa uchungu ambapo ni kinyume na ubinadamu.

So
 
Pale juu kwenye kiti kikuu tunamfukuzaje mkuu? Naomba utoe jibu na hapo basi
 
Hamjambo!

1. Dc Magoti japokuwa anapenda kuongea kwa misifa, majigambo, na kidogo utani Jambo ambalo wakati mwingine anatoaga Boko. Round hii ninaungana naye kwenye hoja yake hii;

2. Mamlaka hailalamiki. Mamlaka inayolalamika hiyo sio mamlaka.

3. Kauli hiyo ameitoa huku akiwahusisha Wanaume kama watu waliopewa Mamlaka ya kuongoza Mke, watoto na Familia kwa ujumla.

4. Hata Sisi Watibeli falsafa zetu zinamtaka Mwanaume au mwenye mamlaka kutokuwa MTU wa kulalamika Bali kuchukua hatua.

5. Mamlaka ni kuchukua hatua stahiki kwa maslahi ya Mamlaka husika na wale unaowaongoza.

6. Oooh! mke wangu haagi. Nini wewe! Kwamba mkeo haagi hujui chakufanya?
Huna maamuzi? Huna Sheria? Hujui kuongoza?

7. Ooh mke wangu akinuna tuu anaenda kwao. Heee! My friend nafikiri huyo mkeo ndio angepaswa awe Mwanaume alafu wewe uwe jike ili uone yeye angefanyaje.

8. Oooh! Mke wangu anakiburi. Hivi unajua maana ya mamlaka. Hivi uliwahi kuona kiburi kikizidi mamlaka? Nafikiri hujui maana ya Mamlaka.

9. Mamlaka yenye nguvu ipo tayari kufukuza yeyote bila kusita, bila kujali. Bila woga WA kufikiri matokeo. Mtu yeyote ambaye yupo kinyume na Mamlaka.

10. Mwanaume mzima ati unabembeleza Mke mjeuri, kiburi au msaliti. 😆 Hahaha! Kwamba Mamlaka ikubembeleze?
Alafu mamlaka hiyohiyo inatoa chakula, mavazi, na huduma zingine. Hiya labda mamlaka ya Misukule.

11. Usiogope wala kujishauri kupiga chini mtu yeyote asiyekuheshimu. Kwenye familia lazima Baba au mwanaume uhakikishe mambo yote yanaenda sawasawa na matakwa na sheria zako.

12. Mamlaka haiingiliwi. Unapoongoza mamlaka yako. Ukiwawajibisha watu wako hasa wasio na adabu lakini kwa Haki. Usiruhusu watu wa nje ya kukuamulia.

13. Sisi Watibeli, hata kama kuna Watibeli wenye Imani ya Kikristo. Kuna mafundisho hatuyafuati kabisa. Mfano fundisho la kutotoa talaka. Sisi mwanamke akikosa Adabu, na kuvunja baadhi ya Sheria zetu kuu atafukuzwa tuu. Bila kujali imeandikwa wapi, imesemwa na nani, hivyo yaani.

14. Mamlaka haiogopi kuanza Upya. Kufuta na kuanza upya.

15. Hakuna cha tunawatoto wangapi, hakuna tumeishi miaka mingapi, ukizingua unafukuzwa. Tunaanza upya...!

16. Uanaume sio tuu jinsia bali tabia za kifalme na kimamlaka

17. Sio Kulialia kama mtoto au kama mwanamke hapa!

Ijumaa Kareem

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Siri ya kata aijuae tungi....

Mapenzi yaacheni tu yaitwe mapenzi...
 
Hoja ya kuwajibika kama mwanaume au kiongozi ina msingi, lakini imechukuliwa kwa upande mmoja sana.

Mamlaka ya kweli haijengwi kwenye kuogopesha au kufukuza watu kirahisi, bali kwenye uwezo wa kusimamia, kusikiliza, na kufanya maamuzi yenye busara.

Familia si taasisi ya amri na adhabu pekee, ni mahusiano ya watu wawili wenye utu na hisia.

Kiongozi anayefikiri suluhisho la kila changamoto ni ‘kufukuza’ au ‘kuanza upya’ anaweza kuonekana mkali, lakini mara nyingi hiyo huwa ni ishara ya kushindwa kusimamia changamoto kwa ukomavu.

Uongozi wa kweli haupimwi kwa ukubwa wa sauti au ukali wa maamuzi, bali kwa uwezo wa kujenga uthabiti, maelewano, na heshima ya pande zote.

Ndiyo maana hata kwenye mifumo mingine ya uongozi duniani, viongozi bora hawatawali kwa woga bali kwa ushawishi na hekima.
 
Ukristo pia ni Mila kama ulikuwa hujui
Uislam pia ni Mila.

Kwenye mamlaka ubinadamu utahesabika pale unapotii mamlaka na sio tofauti na hapo. Unapoenda kinyume na mamlaka ubinadamu wako hautazingatiwa.

Ndio Maana Mungu mwenyewe wakati anafukuza Adam na Hawa na kuwapa adhabu kubwa ya kifo, na adhabu kama njaa, magonjwa, vita, miiba, kuzaa Kwa uchungu ambapo ni kinyume na ubinadamu.

So

hivi unaelewa maana neno ''kutii'' au unalitumia tu, binadamu mtu mzima anawezaje kumtii binadamu mwingine? only a slave ndiyo anatii au jeshini wanajeshi labda wanatii amri ya mkuu wa kikosi lkn siyo biandamu huru ...
 
Nilishaandika uzi kuhusu hili suala. Baba dikteta ndo baba bora.
 
Back
Top Bottom