Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,534
Katika jamii tunazo ishi kuna aina au kundi la wanaume ambao ni dhaifu ambao ni aina ya mwanaume jamii ya wanawake humtengeneza kama retirement plan au mpango maalumu kufanikisha mipango yao ya kimaisha bila kuwajibika lolote kwa huyo mwanaume au huyo mwanaume kupata maslahi yoyote katika huo uhusiano.
Mwanaume huyu miaka ya nyuma aliitwa jina la kinafiki “Mwanaume wa kweli au real man” ila baada ya kamati tendaji ya siri ya usimamizi wa misingi ya kiume ya baraza kuu la wanaume umoja wa mataifa yenye makao yake makuu Moscow kuketi na kurejea misingi ya kiume ilibaini kuwa uanaume umekuwa infiltrated na hila za mataifa ya kimagharibi za kudhoofu mfumo dume na kutumia mfumo jike kama lango kuu la kutekeleza NewWorld Order na kuondoa influence nzuri ya kiume (Paternal influence) katika jamii popote pale.
Hii breed au kundi la wanaume ni sample tu katika makundi mengi ya wanaume dhaifu ambao ndio wanaharakati wa hovyo wa kifeminist huwatumia kama reference ya uanaume na kuwatumia kama kielelezo cha udhaifu au tatizo la mfumo dume.
Nitamke wazi hapa kuwa Mfumo dume a.k.a Patriarchy hatuwatambui wala kuwaheshimu kundi hili na mengineyo dhaifu na chochote wanachofanya hakina uhusiano na Mfumo dume na hatuhusiki na madhaifu wala utaratibu wao wa kuishi.
Leo nitazungumzia hii breed inayoitwa “Simp”. Huyu ni aina ya mwanaume ambaye huonyesha umakini au attention iliyopitiliza kipimo kwa mwanamke, kujitoa kulikopitiliza,na kujiweka rehani kuliko pitiliza kama mhudumu kwa malengo ya kutafuta mapenzi ya kweli kwa kwa mwanamke ambaye hana mapenzi ya dhati na hatoi mrejesho wa kihisia kama anaopewa kwa makusudi.
Zifuatazo ndizo ishara za wazi wazi za kumtambua mwanaume mwenye vigezo vya kuitwa simp;
Kujitoa kuliko pitiliza: huwa anakuwa na tabia ya kutoa kulikopitiliza vitu kama pesa, zawadi, muda wake na hata kuweka rehani uhai wake akiamini hiyo itamfanya kupendwa na mwanamke anaemfanyia hizo kafara zake. Haujawahi kusikia visa vya wale wanaume anakuta mwanamke amesimama sehemu ana majanga yake yeye anajitoa kuyasolve akitegemea kupewa zawadi ya penzi then mwanamke mwishoni anamwambia “ mimi nilikuwa nakuchukulia kama kaka yangu” huyo kaka sasa ndio SIMP tunaowazungumzia leo hapa.
Kuwa na tamaa kubwa na shahuku ya kupendwa/kuthaminiwa na mtu ambaye haonyeshi kumjali wala kumpenda kama anavyotamani kupendwa. Ushawahi kusikia mwanaume amejinyonga kisa mapenzi, au kadhuru mwanaume mwenzake kisa demu aliyemtaka amemtolea nje,hii ikupe sasa taarifa kuwa umekutana na simp in real life.
Kukosekana mrejesho wa matendo na hisia kutoka kwa mwanamke pale ambapo inategemewa angeonyesha hivyo. Kwa mfano, mwanaume anamtext binti mara 6 na kujibiwa na simple replies kama “K”,” Sawa”,”Gnyt”, kwa kifupi upande wa pili hauonyeshi hata heshima ya kukaza vidole kuandika maneno ya kujali au kutoa ufafanuzi. Ukiona mwanaume yupo na haya mahusiano au ndio upo humo, wewe ni Simp.
Kuonyesha hali ya kutojiamini na kukosa mamlaka kwenye uhusiano na matokeo yake ni kuwa desperate for attention muda wote na kuplease kama sio kubembeleza ili kupewa mrejesho. Mwanamke akikuonyesha dalili ya kukukwepa bila sababu za msingi we tayari umeshaanza kuwa mnyonge na kukubali aamue lolote mradi asiende zake na kukuacha unabemeleza abaki kukuendesha na kutumia resources zako kwa manufaa yake ambayo yeye anakuaminisha ni yako. Wewe ni simp kama unacheza huu mchezo.
Kuwa too nice na caring kwa mwanamke kiasi kwamba mwanamke anaanza kutumia kama udhaifu kumuexploit huyo mwanaume kwa shida zake binafsi ambazo sio majukumu ya huyo mwanaume kiuhalisia. Kwa mfano,mwanamke atamtaka amtumie pesa ya salon,kumtaka amlipie kodi, kumtaka amnunulie simu au kitu chochote bila hiyari ya mwaname.
Kutukuza wanawake kwa kuwasifia kuliko pitiliza ,kuwapamba na kuwapa free passes hata kwenye nyakati ambazo walitakiwa kuwajibishwa. Umeshawahi kuona ugomvi mwanamke anamtukana mwanaume hadharani na hata kumrushia vitu na kumpiga ila ile moment mwanaume akigeuza kibao akampiga au kumsukuma huyo mwanamke then kuna wale wapumbavu huwa wananyanyuka na matako yao magumu kama tofali za kuchoma kuingilia ugomvi wakiwa wamefura huku wakisema “unapigaje mwanamke wewe, mwanamke hapigwi” ila muda wote walishuhudia tukio na walikaa kimya wakati mwanamke akifanya yake. Hao ndio ma”masimp sasa muwajue.
Kwa kifupi simp ni kuwa Mwanaume mjinga asiye na maamuzi na yupo tayari kutumika kwa faida ya mwanamke au wanawake ambao hawana malengo nae wala hawana mpango nao kwa chochote.
Ni jukumu la kila mwanaume kujikagua na kujifanyia tathimini ya mara kwa mara ili asiangukie katika kundi hili la hovyo ambalo halina faida yoyote kwa wanaume wala kiumeni.
Ni muhimu sana kwa jamii yoyote ile kuwa na wanaume wanaojitambua from their core center na sio wanaume makasha wenye mafanikio ya kifedha na mali ila katika character zao ni vibwengo wanaotumika na wanawake kudhoofu uanaume na kurudisha ustawi wa jamii nyuma.
Hii iwe ni hatua muhimu kuanzia sasa, popote pale nawatamkia na kuwaagiza watoto wa kiume na wanaume kujipiga kifuani na kuukataa usimp kwa hasira,chuki kubwa na jazba ,kutokushirikiana na kuwachukia kutoka moyoni wanaume wanaoonyesha tabia za kisimp na kuvunja ukaribu nao sababu ni sawa tu na kuwa na ukaribu na shoga.
Tuwatokomeze hii breed isiwapo kwasababu chini chini ndio hawa wanatusaliti na ndio waliotulsaliti kwa kuleta mambo ya 50/50 halafu saa hii wapo kimya na matako yao hakuna wanachoweza kufanya kusafisha uchafu uliotengenezwa na wao katika jamii. Ndio wao chanzo cha mifarakano na kuharibu bond nzuri ya wanawaume na wanawake.
Wanapenda kujitambulisha kama real men mbele za wanawake ila ndani ya akili na mawazo yao hawajui chochote kuhusu uanaume wa kweli ni slaves wa wanawake na wanatumika kudhoofu wanaume halisi wenye misingi.
Tuwapige vita na kuwatokomeza ma’simp kwa mbinu na jitihada zote.