Ila kuna wanaume wana maringo..

Ila kuna wanaume wana maringo..

Hao ni mashoga sio wanaume hakuna mwanaume anaye ringa duniani.
 
Shaurizenu mnaoshoboka na mahb mie sitizami uzuri pesa ipo uzuri badaye
 
Sometime kujishtukia Tu Na kutojiamini kwa wanawake hamna mtu anaringa
 
Mwanaume akishajijua tu kuwa ni mzuri na wadada tunampapatikia,basi nae ataanza nyodo kama binti...naichukia sana hii tabia,wenye tabia hii jirekebisheni bana,mnatufanya sisi wadada tushindwe kujiexpress feelings zetu kwenu.

Hata sisi mnatukera kwa tabia kama hiyo.
 
Back
Top Bottom