Ila kuna wanaume wana maringo..

Ila kuna wanaume wana maringo..

huyo sio mwanaume ni mvulana kwi
 
Kwa mie ambae mapenzi nimeyapa nafasi ya 7 akiringa ndo vzr nipate kufanya mambo yangu..
 
samahani mwanaume uzuri wa sura ?????
uzuri wa mwanaume kujituma ...ajue wajbu wake kutafuta pesa sura ya kazi gani???amekuwa pambo :israel::israel::israel:
yeye maua or???
Emu mweleze mwenzio aelewe...
 
Mimi siyo kama nakuringia, yaani ndivyo nilivyo kama sikujuwi hata habari yangu hautaisikia....ila ukinisalimia nitakujibu. Mimi niliachana kusalimia kina dada miaka 7 iliyopita kwani ilikuwa kila nikiwasalimia dada habari yako, wao wanarudisha kwa kuniambia wanangu hawajala jana, au nataka pango la nyumba la mwaka mzima. Nimeuliza tu habari nashushiwa mizigo ndiyo maana nikaacha kusalimu. Tafadhali nisamehe, yaani ni uamuzi wangu tu wa kuuchuna kwani sitaki mizigo ya kujitakia wakati kula wanakula wengine vyombo nioshe mie.
 
Lazima niringe,niwe selective tena sana,sio nishushe kiwango changu...
 
Back
Top Bottom