Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,757
🤣🤣Mara paap nimechaguliwa mkuu wa majeshi jambo lolote linaweza kutokea ngoja nifatilie kwa ukaribu
Kila Mtu Atumie VPN YakeNa yeye pia anatumia VPN
Kwanini wanategea wakati wa mechi, hizo teuzi zenu zitangazeni kesho bwanaaa
Huu ndio muda wa kuondoka sebuleni na kujipumzisha nje.
Hakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
Mkuu wachagga watabaki kuwa wachagga. Fanya ufanyalo pinduka Kimei anaingia Cabinet.Hakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
Hakuna tatizo, kwenye specialisation of labor hao watu wana fit sehemu nyingi sana. Sio kwenye utawala pekeeHakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
Hakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
Tutasikiliza baada ya matchMwambieni JPM kuna mechi ya simba afanye faster au hajui?
Ha ha ha ha haHuu ndio muda wa kuondoka sebuleni na kujipumzisha nje.
youtubeNi tbc one au ni channel ipi