Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mara paap nimechaguliwa mkuu wa majeshi jambo lolote linaweza kutokea ngoja nifatilie kwa ukaribu
🤣🤣

Yaani mkuu kwa hicho cheo chako cha UMEJA(04) leo hii ndio uteuliwe hivyo?!!

Haya mkuu..🤣
 
Wakati watu wasiokuwa na vyeo wako busy kwa hamu kusikia teuzi zikitangazwa, wenye vyeo wako matumbo joto muda huu. Hata Majaliwa huko alipo huenda kajasho kembamba kanamtoka, mkojo unataka kutoka na tumbo la kuharisha linabisha hodi. Magu anawatesa sana makada.
 
Hakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
Hakuna tatizo, kwenye specialisation of labor hao watu wana fit sehemu nyingi sana. Sio kwenye utawala pekee
Na wakibaki nje ya mfumo wa utawala watasaidia sana kwenye mabadiliko na maendeleo ya uchumi maana kwao hakuna kulala hadi watoboe
Cc aloycious Pohamba
 
Kwani lazima wawepo?

Makabila 126 yataingiaje kwenye cabinet ya watu 30 or 40?

Msijikweze sana maana inawezekana kuna Makabila tangu uhuru hayajawahi kutoa walau Naibu Waziri

Ukiondoa Jakaya kuna Mkwere kishawahi kuwa Waziri au Naibu waziri tangu uhuru? Mbona tupo kimya tu
Hakuna mchaga wala mpare atakayetoboa kwenye serikali hii ya Magufuli.
Labda Angela Kairuki.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom