Ikiwezekana, Bunge lianze na mswada wa dharura kujadili Katiba Mpya; hii Katiba ya sasa kitendo cha Makamu kutambuliwa kuwa mrithi ni hatari

Kwa mara ya kwanza Mmawia naona umeongea kitu. It has to be so.
Naona akili sasa zimekurudia hasa baada ya huu msiba maana huijui kesho yako.

Mkate wa kila siku itakuwa ni tabu sana safari hii.

Nakushauri fanya maamuzi magumu urudi kijijini kwenu koromitje ukaanze kuvua nyingu
 
Mimi ndo nimeanzisha huu mjadala, mmezoea kutisha watu, bull shit perish in hell!!
Sasa kama umeuanzisha unataka kujadili mwenyewe. Au unataka uunngwe mkono tu, wenye mawazo tofauti wanyamaze!
 
Naona akili sasa zimekurudia hasa baada ya huu msiba maana huijui kesho yako.

Mkate wa kila siku itakuwa ni tabu sana safari hii.

Nakushauri fanya maamuzi magumu urudi kijijini kwenu koromitje ukaanze kuvua nyingu
Dogo nilivuka umasikini miaka 22 iliyopita, na unaweza kupata aibu ukikutana na mimi macho kwa macho. Mimi ndio mmoja wa wenye mawazo huru kwa kuwa sitegemei maoni yangu yanipe chakula. Riziki ya kula, kusaza na ya kugawa ipo tuu, na mimi ni mdingi ki umri dogo.

Na mimi sio lazima niende Kolomije nisiko kujua, Usangi au Lyamungo Sinde kunanitosha. Muulize mwenyekiti wako kuhusu mimi atakuhabarisha.
 
Ebu wacha ujinga,hapa ni jukwaa huru hivyo tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hukubaliani nayo.
Mtoa post yupo powa kabisa, ni kweli hila zipo japo hatumaanishi Muheshimiwa Samia kafanya hivyo,laikni kunahaja ya kuangalia kipengele hicho.

Presidential is a One Comittiment, from his/her heart to lead a country. By the way Tumuunge mkono Rais wetu mpya, mwana Mama wa kwanza, ataweza vizuri, kikubwa ashauriwe vizuri na wataalamu na watu wakaribu yake. Aukubali ukweli bila kinyongo mazuri au mabaya .
Ilikuendeleza au kuahirisha kwa masrahi ya umme.

Piga Kazi Mama yetu.
 
Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.

kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.

Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.

Kwasababu hicho kipengele hakiwabebi wasukuma mliokuwa mnakula upepo chini ya jiwe, ndio unataka kifungu kimoja kibadilishwe kwa ajili ya wahuni wachache? Tunataka katiba mpya tena ile rasimu ya Warioba, na sio kubadili kifungu kimoja kwa ajili yenu wahuni wachache.
 
Dogo nilivuka umasikini miaka 22 iliyopita, na unaweza kupata aibu ukikutana na mimi macho kwa macho. Mimi ndio mmoja wa wenye mawazo huru kwa kuwa sitegemei maoni yangu yanipe chakula. Riziki ya kula, kusaza na ya kugawa ipo tuu, na mimi ni mdingi ki umri dogo.

Na mimi sio lazima niende Kolomije nisiko kujua, Usangi au Lyamungo Sinde kunanitosha. Muulize mwenyekiti wako kuhusu mimi atakuhabarisha.

Acha mikwara ya kishamba ww mtoto.
 
Kuna baadhi ya nchi hufanya hivyo. Ndani ya siku 90, uchaguzi wa Rais unafanyika tena. Ila kwa bahati mbaya nadhani sisi tumechukua mfumo wa nchi kama Marekani!

Kile kibabu Joe Biden kikatokea ghafla kikaanguka, na kwenyewe kutatokea tukio la kihistoria kwa Makamu wa Kwanza kabisa Mwanamama Camara Harris kukabidhiwa Nchi ya Kibeberu kuitawala
Na sasa Biden anaafya mgogoro kinapiga mieleka tu anaanguka peke yake
 
Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.

kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.

Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.
Nchi jirani ilishawahi kutokea na Makamu Rais akatawala muda mrefu mpaka akastaafu. Kweli ni hatari sana kama ni mbinafsi na mpenda madaraka
 
Ebu wacha ujinga,hapa ni jukwaa huru hivyo tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hukubaliani nayo.
Kwani yangu sio mawazo?
Nimehoji kwann kauli ya kubadilisha katiba kuhusiana na VP kuwa Rais mleta mada ameileta leo wakati katiba siku zote ipo na yeye hakuwahi kuleta hyo hoja?

Nikauliza je mleta mada anateseka na Urais wa Samia?
Haya niambie ujinga wangu uko wapi?
 
Mkuu unaelewa maana ya mgombea mwenza? Nafasi wameigombania kwa pamoja, kwahiyo ni kama yao wote. Labda angalizo litolewe kwa vyama kuwa wa hakikishe both candidates are of equal capacity\potentials, otherwise it is too early to forecast and judge.
Nimeona mfano huko Kenya, kwenye kiti cha Gavana, mgombea mwenza antafuta njia ya kumuondoa Gavana ili yeye awe gavana. Naimetokea si mara moja. Lakini kwa kiti cha Rais walikua wajanja hawakuweka hicho kifungu.
 
Watu wanaweza wasikuelewe hapa au hata usieleweke Kwao upesi ila umekuja si tu na Hoja nzuri na Muhimu lakini pia kuna Fumbo umelifumba hapa hasa kutokana na Tetesi za chini chini kuwa kuna Kundi fulani lenye Sifa ya Umafia na pia lina Pesa limecheza Mchezo wote Kiufundi kabisa na Mission ya Siku nyingi imekuwa Accomplished.

Nakubaliana nawe 100% juu ya Hoja yako Ndugu ili tuepuke Misiba mingine isiyo ya Kilazima huko mbeleni. Na hata aliyeshika hatamu sasa namshauri awe Makini kuliko wakati wowote kwani hata wanaomzunguka sasa wana Ubobezi mkubwa tu wa Kimafia na Wanajulikana kutokana na Washirika wao.
Nafsi yangu inaniambia samia hatamaliza muda wake salama. Na kila nikichungulia Twitter nazidi kuogopa
 
Sasa kama umeuanzisha unataka kujadili mwenyewe. Au unataka uunngwe mkono tu, wenye mawazo tofauti wanyamaze!
Hapana mkuu, huyo jamaa kanishambulia utafikiri mimi ndo nimeanzisha huu uzi, wakati na mimi ni mchangiaji...mijitu mingine ni nuksi tupu utafikiri inatumwa kuja kutisha watu humu....
 
Ndugu watanzania napendekeza kipengele cha katiba ya Tanzania kinachompa Makamu wa Rais nafasi ya kurithi kiti cha Urais moja kwa moja kama ilivyotokea kwa Suluhu kibadilishwe haraka.

kwa sababu kipengele hicho kinahatarisha usalama wa Rais Makamu wa Rais anaweza kushawshika kumdhuru Rais ili yeye arithi nafasi hiyo. Kkundi cha watu wenye nia ovu na tamaa wanaweza kutumia mwanya huo ili kumuweka mtu wao.

Hivyo napendekeza kuwa mara baada ya kiti cha Urais kuwa wazi kwa sababu ya Kifo, maradhi au kuondolewa kwa sababu nyingine. Makamu wa Rais awe Rais wa mpito kwa muda na kuwe na uchaguzi mwingine hata kama ni gharama.

Sio jambo jepesi kama unavyofikiria. That’s why taifa letu lenye umri wa zaidi ya miaka 60 ndiyo limeshuhudia kwa mara ya kwanza VP akiapishwa kuwa Rais.

Isitoshe, this is not unique to Tanzania. Nchi nyingi sana zinatumia line of succession ya aina hii.
 
Una hoja nzuri
Lakini hata kikiomdolewa,kukawa na uchaguzi..naona bado mambo yatakuwa yaleyale...mtu anaweza fanya hila amuue Rais ili apate mwanya wa yeye kugombea.
Ili Rais aweze kuuawa usalama taifa unahusika 200%
 
Back
Top Bottom