Huu ni mwanya. unaweza tumika vibaya. Zaidi ya hapo wanchi hawapati nafasi ya kumchagua. Pia, wakati mwingine Nafasi ya makamu wa Rais anapewa tu mtu ili kujaz nafasi, bila kuwaz kwanba anaweza kuwa raisi siku moja.Hili jambo ni la msingi sana maana katiba imewacha sana nafasi ya mambo ya hovyo kufanyika