- Thread starter
- #41
Sahiv wanafanyaje?Lyndon Johnson ndiye rais wa Marekani wa mwisho kukalia kiti awamu ya 36 toka mwaka 1963 baada ya kuwa makamu wa rais. Je, nini kilifanyika mpaka leo, hakuna "died in office", tukajifunze?

ccm hawawezi jadili katiba mpya peke yao bungeni hawana jipyaSuala la katiba lipewe kipaumbele sana.
Katiba ni uhai.
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii.
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu.
Pia linachangia sana kumuweka mbali makamu wa rais kuwa karibu na rais kwa hofu ya kutoaminia! (Naturally internal conflict)
Kwa gharama yoyote naomba tuanze na katiba inafaida kwetu sote matajiri na masikini, viongozi na watawaliwa.
Kwahiyo nini kifanyikeccm hawawezi jadili katiba mpya peke yao bungeni hawana jipya
Mimi naona kuna kitu Katiba imeachia hasa ikizingatiwa kuna Bara na Visiwani. Haipendezi Bara na Visiwani kuongozwa na Wanzazibar. Ingesema ikiwa VP ni Mzazibar endapo Rais atakufa /kujiuzulu apatikane VP toka Bara. Angeweza kuchaguliwa miongoni mwa Viongozi waandamizi Serikali I wanalijua Tz Bara nje na ndani.Suala la katiba lipewe kipaumbele sana.
Katiba ni uhai.
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii.
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu.
Pia linachangia sana kumuweka mbali makamu wa rais kuwa karibu na rais kwa hofu ya kutoaminia! (Naturally internal conflict)
Kwa gharama yoyote naomba tuanze na katiba inafaida kwetu sote matajiri na masikini, viongozi na watawaliwa.
Kwanini haipendezi bara na visiwani kuongozwa na wazanzibari?Mimi naona kuna kitu Katiba imeachia hasa ikizingatiwa kuna Bara na Visiwani. Haipendezi Bara na Visiwani kuongozwa na Wanzazibar. Ingesema ikiwa VP ni Mzazibar endapo Rais atakufa /kujiuzulu apatikane VP toka Bara. Angeweza kuchaguliwa miongoni mwa Viongozi waandamizi Serikali I wanalijua Tz Bara nje na ndani.
Maoni yepi tena? kwani hujui tuna katiba iko pending...Kuubadilisha katiba ya nchi ni wazi zuri Ila itachukua muda mwingi Sana kukusanya maoni na kuitunga.
Tuanze na katiba ya chama, katiba iondoe ukomo wa mwenyekiti, Kuna wenyeviti ving'ang'anizi sana.
Kaanza uenyekiti toka raisi mkapa, akaja kikwete, akaja magu, na Sasa Samia. Aah sio demokrasia hiyo
Ebu wacha ujinga,hapa ni jukwaa huru hivyo tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hukubaliani nayo.Unateseka Samia kuwa Rais?
Kama huteseki why pendekezo hilo umelileta leo?
Hili jambo ni la msingi sana maana katiba imewacha sana nafasi ya mambo ya hovyo kufanyikaSensible opinion....
Ni ushauri unaofikirisha sana japo kuna watu tayari wanadhani unamwonea wivu Mama Samia Suluhu..
Hawajui kuwa pengine hata miaka minne hii iliyobaki, makamu anatekuja (kwa mujibu wa hoja yako), VP anayekuja aweza kufanya yake ili mradi akalie kiti cha Urais...!
Kama anateseka subirini mtaona madhara yake.Unateseka Samia kuwa Rais?
Kama huteseki why pendekezo hilo umelileta leo?
Sasa mbona we umetukana mawazo ya mwenzako?Ebu wacha ujinga,hapa ni jukwaa huru hivyo tujenge tabia ya kuheshimu mawazo ya mwenzako hata kama hukubaliani nayo.