Ikiwa wewe ndiye Masikini zaidi kati ya ndugu zako, epuka mikusanyiko ya Kifamilia

nakumbuka siku nilihuduria kikao cha msiba kanda ya kaskazini mimi kama mkwe wife kanitambulisha kwa mjomba wake kila dakika mjomba ananiuliza umekuja na gari gani
ikabidi tu nimpotezee wao wanadhani kila anayemwoa binti yao ni tajiri
Wachaga hasa wa Machame wana mambo ya kijinga mno. Binti akipata mtu ataulizwa kwanza jamaa anafanya kazi gani au ana biashara gani. Katika wachaga wote hawa Machame ndo wanapenda hela kupitiliza. Ukioa mmachame maisha yako yanakuwa hatarini.
 
Ukioa mmachame maisha yako yanakuwa hatarini.
Maisha yanakuwa hatarini kiaje mkuu?
 
Kawaida ya familia maskini kukutana kujadili saa nyingine mambo yasio na tija mimi sijawahi kaa nikawaza kujiogopa kisa fulani kwenye familia kanizidi kipato cha msingi nashiriki shughuli za kifamilia hayo mambo ya kudharauliana sijawahi ona kwenye familia yangu.

Afrika tunaabidu mambo ya ajabu sana unakut mtu haendi kwao kisa hana hela au gari ni ujinga tu
 
Nafsi mkuu, utakuta kwenye familia/ukoo vijana wadogo umewazidi umri, lakini kifedha wamekuacha mbali 😟, Moyo lazima uteseke kiasi fulani.
 
Kuna ule mtindo wa kuanzisha group la waliosoma shule fulani/classmates eti group la kuanzisha mfuko wa maendeleo, mara muanzishe kampuni fulani au mradi fulani wa kujipatia fedha kwa maendeleo. Mbaya zaidi wale wenye hela nyingi huona wenye vipato vidogo wanataka kuwapiga na mwisho gruoup hufa kifo cha mende. Kali zaidi ni wale tuliosoma shule fulani kuanzisha harambee ya kukarabati shule tuliosoma. Sasa hapa ex students watachanga nini na ajira hawana? Hiyo michango ya kukarabati shule wachange wenye ajira tena wenye super scale zinazofanana/karibiana. Wengine wenye vilaki ni kujiabisha tu bora usichange ondoka kwenye mpango huo
 
• Miaka 40, ni parefu sana mkuu,

• Miaka hiyo, Hata wazazi wenyewe, watakuchoka kupita kiasi,( kwa sababu wamezeeka au hata nguvu za kukusaidia hawana)

• Miaka hiyo ukiwa bado upo nyumbani, akili inawaza wazazi wako wafe, ili umiliki nyumba, hakuna lingine.
Unajua Corona tu ilivyochachamaa Co's kibao zikafunga ofisi watu kibao wenye age ya 40's walirudisha mpira kwa kipa?.Huo Ni mfano mmoja tu, Maisha yana mambo mengi Sana.
 
Wachaga hasa wa Machame wana mambo ya kijinga mno. Binti akipata mtu ataulizwa kwanza jamaa anafanya kazi gani au ana biashara gani. Katika wachaga wote hawa Machame ndo wanapenda hela kupitiliza. Ukioa mmachame maisha yako yanakuwa hatarini.
Hii kitu ni kubwa kuliko kwa wamachame wana tabia hii kuliko wachagga wote, nashukuru mungu wakibosho hatuna hii.
 
Tabia asilia za mtu mweusi.
1.Ujivuni
2.Ujuaji
3.Kejeli/Dharau
4.Wivu/Husda
5.Anasa

Tabia asilia za mzungu.
1.Upendo
2.Huruma
3.Kujitoa
4.Kusaidia wasiojiweza
5.Kujali zaidi utu.

NB: Mtu ukishamjua hakupi tabu.
Umesahau tabia nyingine za wazungu hao hao.
1.Unyonyaji.
2.Uonevu hasa Kwa ngozi nyeusi.
3.Unafiki kutoa tabasamu fake we unajua upendo.
4.uchawi
😂😂😂
 
Umaskini ni mbaya sana, hasa pale ikiwa ndani ya ukoo wewe ndiye maskini zaidi kuliko wengine, epuka mikusanyiko ya familia hadi uwe na pesa.

• Ikiwa unajua wewe ndiye masikini zaidi kati ya ndugu zako au hufanyi vizuri kwenye masuala ya kifedha, ninapendekeza uepuke matukio ya familia au mikusanyiko hadi uwe na pesa. Kama kuna ulazima wa kuhudhuria, keti kwa huruma kwenye kona kama mgeni. Waruhusu watu wanaotoa chakula na zawadi wakuhudumie kama mmoja wa wageni, ili usije ukajiaibisha. Usikae karibu na mahali ambapo chakula na vinywaji vinatolewa , kaa sehemu ambayo utaonekana ni mtu tu wa kawaida.

Hii itakusaidia:-
Kuepuka Mizozo: Tofauti kubwa za kiuchumi zinaweza kusababisha mizozo na mvutano ndani ya familia. Kwa kuiepuka mikusanyiko, inaweza kupunguza nafasi ya kutokea mizozo inayohusiana na masuala ya pesa.

Kuhifadhi Heshima: Kuepuka mikusanyiko kunaweza kusaidia kuhifadhi heshima ya kila mwanafamilia. Baadhi wanaweza kujisikia vibaya kuhusu hali yao ya kiuchumi, kujitenga au kukaa mbali nao inaweza kusaidia kuzuia aibu au kujisikia kutengwa.

Kupunguza Mizaha na Kupotosha: Kwa kuepuka kuchanganyikana na familia, inaweza kuzuia mizaha au vitendo visivyofaa vinavyoweza kutokea kutokana na tofauti za kiuchumi.

Kutoa Nafasi ya Kibinafsi: Kujitenga inaweza kutoa nafasi kwa kila mwanafamilia kushughulikia masuala yao ya kiuchumi kwa faragha bila shinikizo la umma au kujitetea.

Kuepuka Uonevu: Tofauti za kiuchumi zinaweza kusababisha hisia za uonevu au wivu. Kuepuka mikusanyiko kunaweza kupunguza nafasi ya hali hizo kutokea na kuhifadhi amani ndani ya familia.
Bro,Atakaye shupaza shingo akapuuzi huu waraka kitachomkuta ni halali yake
 
Back
Top Bottom