Ijumaa ya mwanzo wa mwaka wa uchaguzi , tuitumie kuiombea Nchi katika Haki na kweli

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,425
Screenshot_2024-01-02-02-31-40-1.png


Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu

Nachukua nafasi hii katika hii ijumaa ya kwanza ya mwaka , kuwaomba watukufu Waislam kuiombea nchi hii katika haki na kweli , na hasa kwenye masuala yote yanayohusu uchaguzi , masuala ya Uchaguzi ndio chimbuko kuu la uvunjifu wa amani na mauaji kwenye nchi nyingi Duniani .

Tuombe sana Allah awape uvumilivu viongozi wetu ili waweze kukubali kuwa na uchaguzi ulio huru na haki , Kila siku siyo jana , kwamba unaweza kufanya yaleyale na Wananchi wakanyamaza .

Wabhillah Tawfiq
 
Back
Top Bottom