Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,890
Limesalimika mtani langu liko kule shimoni wanakoita lango la kuzimuNitarudi kusoma hii mtani.
Hivi duka lako limepona?
Mmh moto au maradhi au nini?Nasikia designer wa jengo B.j Amuri naye alifariki siku ya janga la Moto hiyo tarehe 10
Buji nafanya mpango baadhi ya nyuzi ziingie kwenye audioMshana Jr, huu Uzi mzuri Sana, ilitakiwa uletwe kwa namna ya masimulizi ya sauti (audiobook)
Itakuwa Ni bonge la achievement
Tatizo muda na funds kaka ila napambanaItakuwa Ni bonge la achievement
Limeungua! Limeunguzwa...!!! Kuna yatakayobaki kwenye historia yake kuna yatakayopotea milele
Hi taarifa siyo ya kweli,...niliipata UTV ya azamtv
Mungu atajalia, pia mambo yakiwa mazuri unaweza kwenda kwenye Online TV
Asante sanaHi taarifa siyo ya kweli,...niliipata UTV ya azamtv
TANZIA - Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo, likiwemo Soko la Kariakoo afariki dunia
Alikua anaishi Mbezi mwisho hapa stend mpya, ng'ambo ya Barabara pale kwenye fremu za maduka, ndipo kwa Bedda Amury, mara nyingi alikua anakaa pale anapata kilaji mzee wawatu taratiiibu. Ila amefia huko sinza kwenye nyumba yake nyingine. Hapana, taarifa yako juu ya kufariki akiwa Sinza si za...www.google.com
Tuombeane kakaMungu atajalia, pia mambo yakiwa mazuri unaweza kwenda kwenye Online TV
Inshallah
Mshana Jr hongera kwa michango yako, kwa ushauri tu ikiwa presentation kwa video itapendeza zaidi, haya mambo ni bora yafundishwe kwa vizazi vijavyo ili wajue wapi tulipotoka, ikiwa huko nyuma sana kabla ya kuwa na kumbukumbu mambo yametupita basi tusikubali vizazi vyetu vipitwe na hii historia adhimu ya soko la Kariakoo. Tatizo ninaloliona ni kwamba huenda huko mbele hilo soko likapoteza identity yake na wenye nacho wakafnya yao. Kwani Kariakoo imebadilika na inaendelea kubadilika huenda nalo soko limeandaliwa kubadilishwa.
Asante kwa mchango uliojaa mawazo mazuri mno...! Kwekweli kuna haja ya kufanya kitu kwakuwa ni muda sasa wachina wanaliwinda wakiwa na nia ya kujenga kubwa zaidi...sasa huwezi jua wakifanikiwa kwenye hili hiyo design mpya haitapoteza mwonekano wa asili?Mshana Jr hongera kwa michango yako, kwa ushauri tu ikiwa presentation kwa video itapendeza zaidi, haya mambo ni bora yafundishwe kwa vizazi vijavyo ili wajue wapi tulipotoka, ikiwa huko nyuma sana kabla ya kuwa na kumbukumbu mambo yametupita basi tusikubali vizazi vyetu vipitwe na hii historia adhimu ya soko la Kariakoo. Tatizo ninaloliona ni kwamba huenda huko mbele hilo soko likapoteza identity yake na wenye nacho wakafnya yao. Kwani Kariakoo imebadilika na inaendelea kubadilika huenda nalo soko limeandaliwa kubadilishwa.
Naona una nia ya kufanya documentary ya hii kazi ila muda na fund ndiyo changamoto, vyema, swala la muda ni la mtu binafsi lakini fund tunaweza changishana na kufanikisha lengo.
Ni mawazo yangu tu hayo.
Mshana jr nawee ni habari nyingineLimeungua! Limeunguzwa...!!! Kuna yatakayobaki kwenye historia yake kuna yatakayopotea milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja. Lakini Mahqna anatuangusha kwani alitutamanisha kuwa anakusanya maandiko aliyoacha MUNGA TEHENAN. Baadaye kimya.Mshana Jr hongera kwa michango yako, kwa ushauri tu ikiwa presentation kwa video itapendeza zaidi, haya mambo ni bora yafundishwe kwa vizazi vijavyo ili wajue wapi tulipotoka, ikiwa huko nyuma sana kabla ya kuwa na kumbukumbu mambo yametupita basi tusikubali vizazi vyetu vipitwe na hii historia adhimu ya soko la Kariakoo. Tatizo ninaloliona ni kwamba huenda huko mbele hilo soko likapoteza identity yake na wenye nacho wakafnya yao. Kwani Kariakoo imebadilika na inaendelea kubadilika huenda nalo soko limeandaliwa kubadilishwa.
Naona una nia ya kufanya documentary ya hii kazi ila muda na fund ndiyo changamoto, vyema, swala la muda ni la mtu binafsi lakini fund tunaweza changishana na kufanikisha lengo.
Ni mawazo yangu tu hayo.
Kuniradhi sio Mahqna bali ni Mshana JrTuko pamoja. Lakini Mahqna anatuangusha kwani alitutamanisha kuwa anakusanya maandiko aliyoacha MUNGA TEHENAN. Baadaye kimya.