Kariakoo ndilo soko lenye maajabu East Africa

Ngwakwiii

JF-Expert Member
Dec 6, 2019
426
526
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu

Kariakoo ndilo soko utakalo kuta machinga anauza bidhaa haswa nguo zinazofanana na mwenye duka yy anapiga debe kwa mbele dukani vijana wa kazi wanaangalia kama wa msiba

Kariakoo ndilo soko ambalo machinga na mishkaki yao watapita hata kwenye chochoro bila hata kuangalia nani watamuunguuza wao wanahitaji chapaa pekee

Kariakoo market ndilo soko pekee utakuta vipaza sauti vinazidi kelele kuliko hata wateja wenyewe

Kariakoo ndio soko ambalo kipindi cha sikukuu wanawake wengi wanaiba mizigo ya wateja kuliko wanaume

Kariakoo ndio soko zuri East Africa kuliko masoko yote kwa usafi mpangilio kuliko maaoko yote.

Unaweza jazia sifa nyingine za soko la kariakoo kama unazifahamu ndg mwana Jf
 
Na hakuna soko la hovyo kama soko la boma ilala na siku likiwaka moto hakuna kinachobaki 2 hakuna nafasi zaf kupita 3ukienda kwa wacherehani kule wamebanana sana 4hatari kwa afya ,,,, siko la boma livunjwe lijengwe kisasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom