IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

Wewe unafikiri watakuja na uniform zao?
Watatuma askari waumini wa makanisa na misikiti kwaajili ya kazi maalumu
Mimi mtotot wa nchungaji nimepata wasiwasi sana baada ya kupata taarifa hii kutoka kwa mtu mwenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia wa taifa hili IGP. Inamaana kanisa nyumba ya Mungu si salama kuliko nje.
 
Back
Top Bottom