Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Oya wapi umeona namuonea wivu mke wetu?
Naona mwanaume unakosa hoja mda wote mara mkeo hivi mara mkeo vile
Unazungumza na mimi ila unahangaika kumuonea wivu mke wa mtu

Mara bodaboda wake, sasa umekuwa kama mtu na mke mwenzake, au labda kama anakuibia bodaboda wako vile

Nimekupa pole nikakushauri pia uache wivu. Kwani bodaboda yuko mmoja, utapata mwingine usijali
 
Arguing with you will be be waste of my time.. what is Astro- Physics?

Go back to my previous statement, read again
I quote

**********
“Mfano vile nikiwa na demu akawa anaelezea astrology, au quantum physics or related knowledge, turns me on bug time.”
*************

🤣🤣🤣🤣🤣
Ulielewa ulicholiandika 🫢🤣 au ndiyo lugha ya wadhungu imekuaibisha. Imagine kuwa turned on na mwanamke anaongelea astrology 🤣🤣🤭
 
Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.

Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.

Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.

Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF

Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Limebarikiwa TUMBO LA mwanamke aliyekuzaa
 
I quote

**********
“Mfano vile nikiwa na demu akawa anaelezea astrology, au quantum physics or related knowledge, turns me on bug time.”
*************
🤣🤣🤣🤣🤣
Ulielewa ulicholiandika 🫢🤣 au ndiyo lugha ya wadhungu imekuaibisha. Imagine kuwa turned on na mwanamke anaongelea astrology 🤣🤣🤭
Umekariri sana nadhani neno astrology limekushinda kudadavua

Astrophysics - study astrology, cosmos, universe, mathematics behind....Cha ajabu nini?

Hiyo ni part of knowledge which interest me, and yes a woman who shares deep common interest in the things thats fascinate me, turn me on. .

What is there that is hard for you to grasp?
 
Your stupidity (not knowing the difference between astronomy & astrology)
😎🤦🏽‍♀️😅
I am just thinking something else in my mind while talking to you
You are right am stupid for mixing the two for your mindset. But they are basically the same thing to me

But astrology and astronomy to Me they appear hand to hand. They are basically same line of understanding ☺️
 
Naona mwanaume unakosa hoja mda wote mara mkeo hivi mara mkeo vile
Unazungumza na mimi ila unahangaika kumuonea wivu mke wa mtu

Mara bodaboda wake, sasa umekuwa kama mtu na mke mwenzake, au labda kama anakuibia bodaboda wako vile

Nimekupa pole nikakushauri pia uache wivu. Kwani bodaboda yuko mmoja, utapata mwingine usijali
Oya mimi ndio bodaboda wa mkeo wewe usipomtomba basi nachukulia km umenipa umenipa assist mimi nitaendelea kumtomba na bodaboda nitaendelea kumwendesha bure, furahi sasa
 
Oya mimi ndio bodaboda wa mkeo wewe usipomtomba basi nachukulia km umenipa umenipa assist mimi nitaendelea kumtomba na bodaboda nitaendelea kumwendesha bure, furahi sasa
Bro mbona una force story za kike kike. Huna vya kuzungunza sizungumzago wala sipendi kuongilia mambo ya wanawake na bodaboda
 
Imekuuma kiasi gani mpaka hapo maana sasa unaonyesha jinsi gani you're too emotional
Wewe ndo unaumizwa na bodaboda wako kuibiwa, wasting my time talking
about bodaboda

Huna cha msingi kuzungumzia, spending kiwazungumzia watu kabisa.

Ukiona mtu anazungumzia watu hana cha kuzungumza cha maana.

Pili wanaume hatuna mambo hayo, ni mambo ya kike
 
Back
Top Bottom