Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Sasa hiyo mbona cha mtoto
Mimi kuna pharmacy huwa nanunua condoms mara kwa mara.yule dada muuza pharmacy juzi kati nimeenda tena kununua condoms zangu nikamtongoza pale pale akanikubalia pasipo hata kuhoji hizo condoms huwa naenda kuzifanyia nini.
 
Back
Top Bottom