CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
Kikwete akubali kua kwenye kinyanganyiro cha kuwania uraisi alishindwa na aliiba kura, ataamke hadharani ndipo Dr. atakaanaye jukwaa moja.
mi sioni kama ni point ya msingi. Hata msiban? Tuweke u cdm pemben. Mi kwa kweli hicho ki2 cjakihafiki, kama yeye hamtambui, mbona viongozi wenzake wanamtambua. J2 2meckia mbowe alikwenda ikulu kuonana na jk. Dr. Slaa kwa hili la kumkwepa jk msiban co jema!