jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,381
- 25,477
Nimekupata mkuu, tumsubiri Pasco, kama alivyosema Gaijin hapo nyuma, Pasco alisema kwamba alimuhoji Dr Slaa na kwamba Dr Slaa alisema kuwa yeye alipangiwa viti vya nyuma na hakuona umuhimu wa kwenda huko mbele kwa ajili ya kupeana mkono na Dr Jk.View attachment 45696
Hili ni Jukwaa alilokuwa amekaa Dr Slaa na huyo nyuma ni bodyguard wake pia kwenye jukwaa hili walikuwa wamekaa Lema, Josephine na wabunge wengine wa vyama vya upinzani sasa anayesema kuwa alipangiwa kiti cha nyuma aeleze vizuri
Labda mods waligunduwa si kweli ndo maana wakaona ni porojo ya chit chat.