Wapi?Una uhakika hilo halijawahi kujadiliwa?
ila kuna members wanajuana humu ndio maana kuna wanaotoa taarifa kuwa member mwenzao kaaga duniaMi jf zaidi ya miaka 12 sasa .
Naamini kabisa kumbukumbu zangu ni nzuri sijawahi kukutana na mwana jf hata mmoja
Ajitokeze mmoja basi tujuane aisee!ila kuna members wanajuana humu ndio maana kuna wanaotoa taarifa kuwa member mwenzao kaaga dunia
Mkuu Anza na mimi kabisa....Kwanza sipendi mtu asiye nijua anielewe yaani napenda niwe Neutral. Humu jukwaani kuna mambo ya ajabu sana.Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
Nimecheka sana kwahiyo jamaa ni mshua ana anae fake ombaomba au ni kapuku anauefosi ushua hebu nipe ulichokiona kwa mtazamo wako!Mkuu Anza na mimi kabisa....Kwanza sipendi mtu asiye nijua anielewe yaani napenda niwe Neutral. Humu jukwaani kuna mambo ya ajabu sana.
Kuna jamaa bana alizama Dm akaniomba hela ya kula kuwa hana kabisa hela ya msosi nikaona si kesi nikamtumia 6000/= nikiwa na maaana atoe japo 5000 ale.
Sijui ni kipi kilinifanya nisave no yake dk kumi nyingi jamaa akaweka status anakula bata ambalo mimi sijawahi Lila asee. Hii hali ya jamaa kujirusha kwenye starehe na kuweka status ikawa endelevu.
Siku nyingine kama wiki na ushee hivi jamaa akazam Dm kwenye ID yangu nyingine anaomba hela anauguliwa anaahidi baada ya muda atauza simu yake anirudishie maelezo yalikuwa mengi sana. Ile no nikaitilia mashaka nikaichukua na kulinganisha na ile ya mwanzo ndo ileile nikaangalia jina mpesa ndo lile lile .... nikaishia kucheka tu na sikujibu kitu nikamblock na kufuta no na kuanzia hapo siwezi toa hata jero hapa hapa jf.
Kikubwa wanayotaka yanaenda basi tabia zao tuachane nazo, tuachane na ufukuyuku wa CCMNimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
😂😂😂😂😂Utasikia nina mil.500 naomba ushauri wa uwekezaji
usitumie hisia na mihemko hutoweza kupata majibu sahihi..Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
mtaje huyo mkuuMkuu Anza na mimi kabisa....Kwanza sipendi mtu asiye nijua anielewe yaani napenda niwe Neutral. Humu jukwaani kuna mambo ya ajabu sana.
Kuna jamaa bana alizama Dm akaniomba hela ya kula kuwa hana kabisa hela ya msosi nikaona si kesi nikamtumia 6000/= nikiwa na maaana atoe japo 5000 ale.
Sijui ni kipi kilinifanya nisave no yake dk kumi nyingi jamaa akaweka status anakula bata ambalo mimi sijawahi Lila asee. Hii hali ya jamaa kujirusha kwenye starehe na kuweka status ikawa endelevu.
Siku nyingine kama wiki na ushee hivi jamaa akazam Dm kwenye ID yangu nyingine anaomba hela anauguliwa anaahidi baada ya muda atauza simu yake anirudishie maelezo yalikuwa mengi sana. Ile no nikaitilia mashaka nikaichukua na kulinganisha na ile ya mwanzo ndo ileile nikaangalia jina mpesa ndo lile lile .... nikaishia kucheka tu na sikujibu kitu nikamblock na kufuta no na kuanzia hapo siwezi toa hata jero hapa hapa jf.
Na maisha yako halisi hapaswi mtu kuyajua kwa Gharama yoyote ileKuna maisha ya mitandaoni na maisha halisia....usije kujichanganya na maisha ya mitandaoni ndiyo ukajua ndiyo halisia.