Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 2,180
- 3,473
Sasa mtu asiombe ushauriUtasikia nina mil.500 naomba ushauri wa uwekezaji
Sasa mtu asiombe ushauriUtasikia nina mil.500 naomba ushauri wa uwekezaji
Yeah kawaida tuBasi maisha ni halisi kumbe!
Wee umesema nini hpo?Wauzaji hakuna? Nimeona uzi umefutwa chapchap
Wauzaji na wauziwaji nasikia wote wapo ila hawaonekani!Wee umesema nini hpo?
Wauzaji au wauziwaji?
Humu mapaka shume yote yapo😁Wauzaji na wauziwaji nasikia wote wapo ila hawaonekani!
Busara inanituma kunyamazaWauzaji na wauziwaji nasikia wote wapo ila hawaonekani!
Busara inanituma kunyamazaHumu mapaka shume yote yapo
Samahani mkuu GENTAMYCINE je, ni wewe ndo wanakuongelea hapa?Unamsema kilaza POPOMA stability wa SIMBA?!
🤔🤔🤔Kuna Hawa kutwa kujisifia wanajua mapenzi siku wakajichanganya wanataka niwape dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni Hawa wajukuu wa Ayatollah cc Poor Brain mbamizwa kobaa na nduguye mbamizwa futaa cc secretarybird
Kabisa ,maisha ya mitandaoni ni ya lusaka attentions ,engagements ,views ,likes ,comments then namba za maokoto zinasoma kwenye dashboards Meta mwisho wa mwezi unakunja zako $$.Na maisha yako halisi hapaswi mtu kuyajua kwa Gharama yoyote ile
HahaaaaSamahani mkuu GENTAMYCINE je, ni wewe ndo wanakuongelea hapa?
Hii mada inarudiwa sana humu kila mara inafunguliwa uzi, humu kumejaa watu smart watupu kuanzia muonekano wa sura mpaka muonekano wa akili hakujajaa zile low IQ za FBNdani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
Mlenda mtamu sanaYani mnataka tuseme tunashindia mlenda na ugali hapana hii haiwezekani😀😀😀
Ni kweli mtamu na tunaupenda ila hatuwez kuutangaza mlenda mbele ya matajir wa jf 😂😂😂Mlenda mtamu sana
Weee mwamba ebu angalia tusije pigana live hapa... OoohKuna Hawa kutwa kujisifia wanajua mapenzi siku wakajichanganya wanataka niwape dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni Hawa wajukuu wa Ayatollah cc Poor Brain mbamizwa kobaa na nduguye mbamizwa futaa cc secretarybird