Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,770
- 24,081
Upigane na nani wewe ashuraWeee mwamba ebu angalia tusije pigana live hapa... Oooh
Upigane na nani wewe ashuraWeee mwamba ebu angalia tusije pigana live hapa... Oooh
Wakna ashura uwa ni wauza nyapuUpigane na nani wewe ashura
Ndo huyu ashura poorWakna ashura uwa ni wauza nyapu
Hawapendi hii aina ya ukweli. Lakini daya chungu ndo nzuri. Humu watu wanamiliki milioni 500 alaf wanakuja kutuomba ushauri wawekeze wapi. PUMBA KABISANimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
Nimejaribu kutafakari kwa kina juu ya mienendo ya baadhi yetu ndani ya jukwaa hili nikaishia kuwaza;
Ndani ya hili jukwaa Kuna watu wamejipa ukuu ila ni hakika yangu ukikutana nao lazma utapigwa na butwaa.
Kuna watu Wana tabia fulan ndani ya hili jukwaa ila naamin tungepata nafasi ya kujuana tungebaki tunashangaana
Ni Iman yangu kuwa ndani ya hili jukwaa Kuna watu wanakula mlo mmoja ila ndo wanaoongoza kwa kuanzisha nyuzi za kumiliki mpunga mrefu.
Ndani ya hili jukwaa Kuna waume za watu na kwenye jamii wanaheshimika lkn humu kutwa nzima wapo busy kuanzisha nyuzi za kutafuta warembo
😂😂😂 Unanionea sio mm MkuuWewe kila siku unanitusu humu na ni Baba yako, ila ipo siku nitakunyosha!
Ashura kiuno 😂😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵🫵Upigane na nani wewe ashura
Ashura kobaa mbamizwa 😂Ashura kiuno 😂😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵🫵🫵
Kuna siku isiyokua na jina tutakudaka wewe 😂😂🫵Ashura kobaa mbamizwa 😂
HaitokujaaKuna siku isiyokua na jina tutakudaka wewe 😂😂🫵
We are looking for you buddah...Haitokujaa
Aint available buddyWe are looking for you buddah...
🫵🫵🫵🫵😂