pdidy topic zako mimi huwa zanifurahisha sana sijui huwa unazifukunyua wapi.
idd njema na kwako pia.
Asante sana but umewahi mno nawe aaaaahh
idi lini?????
<br />we vp.. Ur not even FASTING.. live it to us
<br />
<br />
data kwani vp mbona wanijia juu tena how can u judge me like that?! How sure u r 4what u hv said?! Ar u sure that im not fasting? Good of u anyway
Shukrani mkuu kwa taarifa, kwani ukiwa upo mikoa mingine huku na hivi hakuna hata radio mbao basi unakuwa upo gizani tu!.Jumanne na Jumatano
.....................dear naomba msamehe asikufurutishe kabla ya muda hawa awakosekani hata kwenye ligi kuu ya engaland kama arsenal nane nane awakosekani