I think too much...need friends 2 cheer up...

Karibu sana Bi. Shosti. Kwani huwa unafikiriaga vinini haswa?
 
Am a new member kwa jf:nmejikuta nawaza sana recently coz of life circumstances nmekutana nazo n kitu pekee nahitaj san ni marafiki wa kuchat nao,share topic thoughts etc kuavoid ile too much thinking...I belive I got them all hapa kwa JF...thx guys

karibu sana bidada, bt ingia kwa step make unaweza fikir umepata stress free zone,ukaambulia kupigwa BAN la maisha!
 
mi ndo beibe nasty muulize charming gal atakueleza ila leo naona umemkosa my doc bby judgement ila utamuona soon mamito karibu mwaya ila hapa kuna wazee wa kabaa hehheeee we subiri utawaona tuu na leo wapo kimya kweli haya mi nipo kipenz hop u ok nw manake jf ni solution though smtms usipo zoea waweza vimba kama umewekwa amira.
 
nakukubali jembe langu beibe.nasty!
 
Am a new member kwa jf:nmejikuta nawaza sana recently coz of life circumstances nmekutana nazo n kitu pekee nahitaj san ni marafiki wa kuchat nao,share topic thoughts etc kuavoid ile too much thinking...I belive I got them all hapa kwa JF...thx guys
most welcome!
 
Back
Top Bottom