I think too much...need friends 2 cheer up...

Am a new member kwa jf:nmejikuta nawaza sana recently coz of life circumstances nmekutana nazo n kitu pekee nahitaj san ni marafiki wa kuchat nao,share topic thoughts etc kuavoid ile too much thinking...I belive I got them all hapa kwa JF...thx guys

mmmmmhhhhhhhhhh...... mayai ndio tabu..
 
Nalinda eti...au unataka Charminggirl akumalize...?
Where is my judgement 52 pliz umeona anachonifanyia sa asipo nipm au kunitafuta leo hii kesho kutakuwa na thread itakayo muhusu.pliiz n by da way Qt hapa@kuna watu nadhan ushaanza waona humu huyu 52 ni kijana mwema na nimeona hapa anjitahid
 
namwona kwakwel...anajtahid kunifumbua macho,nazidi kufahamu vzur...nshafahamu chamingirl n sob...as dayz goes on ntazid kutambua na wengineo n vinginevyo...
 
Where is my judgement 52 pliz umeona anachonifanyia sa asipo nipm au kunitafuta leo hii kesho kutakuwa na thread itakayo muhusu.pliiz n by da way Qt hapa@kuna watu nadhan ushaanza waona humu huyu 52 ni kijana mwema na nimeona hapa anjitahid
Pole sana Beibe.....kumbuka ndoa yataka uvumilivu....najua JG hajapatikana hm weekend nzima..hope yuko Tarime...pole kwa baridi....
Btw Huyu Qt ananibadilisha mapigo ya moyo lol
 
hahaaa...me napita tu kwa hii post jmn
 
Back
Top Bottom