I think too much...need friends 2 cheer up...

Hivi kila binti humu ni sweetie wako eeh
Charminggirl uko wapi mama uje umwone mupenzi wako anavyoshoboka kwa mgeni

52 nahc hujamsoma mahabuba. alikuwa anamwambia Qt aangalie nicje nkamblack mail. me nimemsoma sana!
 
Where is my judgement 52 pliz umeona anachonifanyia sa asipo nipm au kunitafuta leo hii kesho kutakuwa na thread itakayo muhusu.pliiz n by da way Qt hapa@kuna watu nadhan ushaanza waona humu huyu 52 ni kijana mwema na nimeona hapa anjitahid

lakn beibe.nasty. 52 c ana mke?
 
lakn beibe.nasty. 52 c ana mke?
Utamuweza 52 cg sa kama keshaanza hapa oooh mapigo ya moyo yamebadilika unadhan nin kitafuata kidogo utaona thread inamuhusu qt sa sijahua songombingo lake hapo ndo mana nikamwambia bibie qt b kuuna wazee wa ...... Utamalizia mwenyewe. Hee za asubuh kwanza
 
Karibu sana mchuchu, inabidi tukaribishane kwa pm nikuliwaze matatizo maana hapa wanga wengi tunaweza kupigwa Ban bure... Karibu pm mrembo unieleze kinachokusibu
 
nshaona humu umakini unahitajika,kila mtu anawake eti,me cjaja kwa hayo jmn,shaka ondoa wapendwa...
 
Karibu sana mchuchu, inabidi tukaribishane kwa pm nikuliwaze matatizo maana hapa wanga wengi tunaweza kupigwa Ban bure... Karibu pm mrembo unieleze kinachokusibu

asante mkata kiu...kwenye kupm ndo cna comment hapo,...wadau na huyu je!?hahaa
 
Utamuweza 52 cg sa kama keshaanza hapa oooh mapigo ya moyo yamebadilika unadhan nin kitafuata kidogo utaona thread inamuhusu qt sa sijahua songombingo lake hapo ndo mana nikamwambia bibie qt b kuuna wazee wa ...... Utamalizia mwenyewe. Hee za asubuh kwanza

Hahahaaa mna majungu BN lol
Hata wewe shem?
 
Back
Top Bottom