Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
hata hivyo kwani kuongeza mke mwingine ni dhambi?? kwa raha zako b52!
Umeona eeh halafu wife yuko busy siku hz hata JF haji mara kwa mara so mi sina tatizo...pia akipata mwenza atafurahi sana
hata hivyo kwani kuongeza mke mwingine ni dhambi?? kwa raha zako b52!
Teh sio saana..mbona pm hazikufikii shem wangu...?Mmmmmh ngoja kwanza hebu nipm vizuri shem maana hili suala zito mnoo
Jaman zinagoma we unapata?Teh sio saana..mbona pm hazikufikii shem wangu...?
Kweli humpendi bibie...uko tayari kumpa mume mwingine?Ndo hapo tu napokupendea, hakyanani tungekuwa enzi za mwalimu ningekuongeza uwe mke wa pili wa Nyerere.
Haya nyie watu wa Mwanza nimefika kwenu ndio mmenigomea kunipokea? poa tu.........
Sasa hivi niko kwa kikao hapa snv Isamilo sijajua ntalala wapi bado maana niliwaomba watu wanitafutie sehemu ya malalio wakanitolea njeMjr upo wapi nije kukuona badae kama htojali fasta useme usirembee
Kweli humpendi bibie...uko tayari kumpa mume mwingine?
kwani mkeo hana sharing policy, kama ya celebs wa kibongo?? ila mie aku, mi nikikukuta namalizana na wewe hapohapo, changu nala mwenyewe ati, ebo! mkaribishe mgeni b52, na usimuache mapapa na manyangumi yakammeza! mshike haswa, hata mkeo ataelewa kuwa ni mgeni tu!Umeona eeh halafu wife yuko busy siku hz hata JF haji mara kwa mara so mi sina tatizo...pia akipata mwenza atafurahi sana
Sasa hivi niko kwa kikao hapa snv Isamilo sijajua ntalala wapi bado maana niliwaomba watu wanitafutie sehemu ya malalio wakanitolea nje
Hahahahaaa haya ntasemaHeee haya maliza hapo then utasema wapi utakua
bakiza ya kucheka ukikutana na mimi sasa wacheka mnoo banaHahahahaaa haya ntasema
Usijali hicho ni kama tone la maji baridi ndani ya baharibakiza ya kucheka ukikutana na mimi sasa wacheka mnoo bana
Mmmmh haya mkuu.bt make sure iwe around town dear ili iwe rahisiUsijali hicho ni kama tone la maji baridi ndani ya bahari
Usijali lazima itakuwa town hapahapaMmmmh haya mkuu.bt make sure iwe around town dear ili iwe rahisi
Vpi nianze safari au iwe kesho jibu fasta beibe nasty mi naenda na muda ivooUsijali lazima itakuwa town hapahapa
beibe nasty mambo!Loooooh! 52 haya ongeza juhud
Mi nilifikiri ushamaliza na safari! Haya fanya fasta usijeniwekaVpi nianze safari au iwe kesho jibu fasta beibe nasty mi naenda na muda ivoo
Hahahahaaaa cacico unatisha sana lolkwani mkeo hana sharing policy, kama ya celebs wa kibongo?? ila mie aku, mi nikikukuta namalizana na wewe hapohapo, changu nala mwenyewe ati, ebo! mkaribishe mgeni b52, na usimuache mapapa na manyangumi yakammeza! mshike haswa, hata mkeo ataelewa kuwa ni mgeni tu!