Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,545
Jamani nampenda Michelle, karibu tunafika mama utapata dawa bana usijali
wewe kweli wanipenda....si hawa wengine maneno mengi tu....duh,nishaanza kupata nafuu.....:rain:
Jamani nampenda Michelle, karibu tunafika mama utapata dawa bana usijali
He heeee,Michelle u r funny
:decision::decision:
hehehe basi kaa tayari halaf nikikupitia ukuwe na night dress tu sababu yule babu ukivaa maguo mazito dawa zinakuwa worthless. na vilipustiki usisahau (hii ni kwa mujibu wa babu sio mimi, mimi napinga sana wanawake kuonekana body language zao ovyo ovyo)
du! Mi nilikumiss ila kwakuwa nimegundua unapenda vitu vya bei kali nipe muda....ila usinisahau.
wewe kweli wanipenda....si hawa wengine maneno mengi tu....duh,nishaanza kupata nafuu.....:rain:
Utapona mpenzi, karibu tunafika vuta subira. Hao ma hostess wameshakuhudumia chakula?
ndio mpenzi,wameshanipa supu ya pweza na mkate....!!!
ninakumiss hadi sasa.....suala la Loliondo ni gumu,barabara ni mbaya sana inabidi tu nipende vya bei ghali vinifikishe kupata dawa na kinga....nikishapata tu narudia hali yangu ya kupenda vya bei ya chini....siwezi kukusahau hata nikiwa ndani ya kaburi!!!
Sweet 16....i misssed you,
please convince Ben to take us to Loliondo,
he will...oh yes we will be there....l.o.l
who is missing here!
hivi we michele hupendagi mahelikopta?
Itakuwa vizuri na mi ukinipitia ili nikasafishe nyota niweze kukufanyia mambo makubwa utakaporudia hali yako ya cheap price ili nikukoge zaidi.
Ah Michelle mamito husahau?? Sweet 16 indeed.....Si ajabu Ben kafika bei loh (Naombea asiione hii post nkakosa mwana na maji moto)
Ben darling...............Tutoe basi Outing Loliondo Club kwa Babu
khe khe khe eheheheeeeeeeeeeee.... hilo povu la kufulia jinsi au taulo?He he he he he, naona unakoroga omo utoe povu kaka!!!
Kwani vibaya tukimisiana. Mi misi yu Bigirita.
Nayapenda ni uwezo tu sina...please do something St.RR....please.....:A S 13:
Nawasiliana na makao makuu....will get u one.....jiandae kisaikolojia....na kibayolojia...:spider:
Ah Michelle mamito husahau?? Sweet 16 indeed.....Si ajabu Ben kafika bei loh (Naombea asiione hii post nkakosa mwana na maji moto)
Ben darling...............Tutoe basi Outing Loliondo Club kwa Babu
ha ha ha ha ha......kuna watu habari na posts zao sizisahau....my memeory is the only good thing remaining in me....Ben mwenyewe anakuja kwa ku-beep....labda atakuja kusema Happy Womens day tumkamatie hapo hapo....l.o.l
Ah Baby,nikiwa sipo kumbe unanitilia wasiwasi eh? Na ww umeanza kuwa mtata! Wait and see,i know what to do.
Ha hahahaha,ati Loliondo Club...u r crazy,u want to crack my ribs noow.Tutaenda na Romantic tent lenye swimming pool,swing bed ...ila ww utanitilia mashaka na Michelle coz u don trust meh!
khaaa! :A S 13::A S 13:taarifa ya habari ya jioni kasema,mtu asisindikizwe na shalobaro....nitumie tu gari we endelea na ma press conference yako.....